The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kizazi cha 2000 siyo weka mbali
Ni kweli bro asifanye hivoWatamharibia brand yake, Bora asiwajibu
Karibia na ukweliNikikaangalia kwa haraka haraka body count yake ipo kwenye 70 to 90,yaani dizain hii ni wale ikipumzika yupo bleed.
Wataharibu brand yake sio mudaHuwa Anachoka sana acha wakampe hata massage
Kizazi cha Y2K sijui Mungu alikusudia kikaishi sayari gani.
Vipi mkuu ushapona...Anachoka sana babu yake Poor Brain
Nachoka, mimi, jamani by Mwandambo.
Mtego huo. Ajaribu aone. Wako nje na defender akimaliza tu wanaye.
Mimi ni buheri wa afya mkuuVipi mkuu ushapona...