Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

Sisi huku ruvumacoal limited tunaenjoy kazi siku 20 siku kumi likizo unalipwa mshahara wa siku 30
Unapewa mshahara na nauli unapewa
 
Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki.

Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
Likizo ni haki ya mfanya kazi na inatolewa mara moja kwa mwaka.

Kuna wanaopewa siku 28 na wengine 30.

Hakuna Taasisi ama idara inayotoa likizo zaidi ya moja kwa mfanyakazi, labda iwe ni likizo ya ugonjwa.

Hata wale wa Wizara ya mambo ya ndani wanaokaaga likizo nyumbani robo mwaka nzima, huwa ni malimbikizo ya likizo yao ya miaka mitatu kwa mwezi mmoja mmoja kila mwaka.
 
Unauwakika? Huku kwetu ruvumacoal tunapata likizo kila baada ya siku 20 yaani siku 20 kazi siku 10 likizo na nauli unapewa
 
Back
Top Bottom