KCB half-year profit is more than the combined profits of top ten Banks in Tanzania

Do you know that we have many KCB branches im TAnzania?
I have an active acc at KCB.
My company as well.

Kwa hio unatushauri tufumge acc zetu tuhamie crdb?
Kwa hivyo inaonekana wewe ni mdosi Saint Ivuga? Hehe
 
Serikali ya Kenya ni kichwa ngumu lazima isukumwe kwa makofi ndio ikubali kutoa pesa. Tumeizoea. Lakini mwishowe huwa wanalipa tu.
Nilitaka nimjibu vivyo hivyo tu, ila umelisema ilivyo, ni kama umeyasoma mawazo yangu, ahsante kwa kuntaarif mkuu.
shukran jazilan.
 
Si walisema wako na millionaires double ya Kenya. Izo pesa wanaweka wapi!😂😂😂😂
Hata ndio nashangaa, alafu imagine hiyo bank moja pekee ndio imewakanyaga hivo.
 
2014 and 2020 are two different things.
 
Serikali ya Kenya ni kichwa ngumu lazima isukumwe kwa makofi ndio ikubali kutoa pesa. Tumeizoea. Lakini mwishowe huwa wanalipa tu.
Hapa mkuu unakera Wakenya wenzio wasiopenda kukubali mapungufu.
 
Hapa mkuu unakera Wakenya wenzio wasiopenda kukubali mapungufu.
Kwani wewe huwa unakuja JF na kuhakikisha kuwa kila kitu ulichoandika hakitawaudhi Watanzania wenzako? Learn to be independent minded. Usiwe unafuata upepo kila wakati, saa zingine simama na ukweli.
 
Nimekuelewa. Huku Kenya mdosi inamaana tofauti kabisa. Mdosi ina maana ya tajiri mkubwa.
Ukiangalia kwa kiasi fulani utaona maana inafanana, matajiri wengi zamani Tanzania walikuwa na asili ya India (hence wadosi).
 
For some of us who know a little bit of economy can’t compare Kenya and Tanzanian economy because Kenya by far has bigger economy than Tanzania. The economy is normally driven by volume of business, if in Tanzania total port throughput is less than half of total port throughput in Kenya, which criteria do we use to compare these two counties.

Some of us who haven’t been in Kenya can just argue without any supporting figure, this has been the case. I remember just last month there was argument on the revenue collected by KRA and TRA, when the revenue figure was published the revenue collected by TRA was less than half of the revenue collected by KRA for the same period.

Putting up more arguments on comparison of the economy of these two countries one should be made, a person with good mind will never think such argument is worth putting up an more.

Why can’t we pick other things that are cooperative unlike the economy that is so obvious that one is still underdog.
 
I remember in the late 90's- early 00's a family "friend" bought shares in KCB and NIC bank and people where asking him why he was wasting money on such low return investments.

Needless to say the same people now look at him as a genius.

NB. The EA countries are merging to trade shares of cross listed companies which are mostly Kenyan or based in kenya. That alone is evidence that some of these Kenyan companies have no equal in this region.
 
The best 007 joto la jiwe someni huyu Mtanzania mwenzenu anayejifahamu.
 
In which perspective do you look at the word economy? GDP numbers? Government efficiency in performing its obligation to its citizens? If the former is the case, what about debt to GDP ratio? Can GDP act as a good defn of bigger economy while at the same time the country's debt to GDP ratio rises to red ink?

Don't you believe that GDP is just a number? If u don't just look at the majority citizens style of living and then go through making a comparison between Tz and Kenya.

And if the latter is the case, what about these two countries Govt efficiencies? The one can't even satisfy its citizens with food, so do you still believe that GDP is the good factor to make a comparison? What does it mean?

Btw, you started by rating yourself that you know a little bit of economy so it admits of no doubt that you are somehow a layman of economy.
 
Watu wa Uchumi ya Kenya inaporomoka wamepotea wapi tena?
Kwaiyo Benki moja ndyo inawakilisha uchumi wa nchi au inadetermine overall Kama nchi haianguki.

Ishu hapa s Kenya kuporomoka ishu n kua Tanzania inakua so fast na unakuja kuovertake Kenyan economy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…