KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

Usiwaonyeshe ubabe sana kabla hii deal ikamilike, Si unajua vile hawa jamaa wana wivu wa kishetani? Jamaa wao serekalini wanaeza kuona hii taaarifa wakaifikisha kwa wakubwa wao na kusababisha wapinge hio deal just to win some argument on JF!
 
I doubt it. They are evil but sidhani kama evilness yao imefikia hapo. Anyway this news is widely reported. It is reported in Business daily, Citizen Online, NMG so sioni venye mimi kuireport JF inabadilisha chochote. Mimi I am just reporting what has already been reported by our media. This is not a secret. It is all in the open.
 
Haukumbuki yule dada mkenya ambae alikua awe CEO wa Vodafone? Si walianzia kumpinga humu JF hadi mwishowe ikafika ikulu? Serekali kama za TZ,Ethiopia, Uganda hua zinajaribu ku control kila kitu na kila kitu wanachukulia kama opportunity ya kufanya propaganda, so wakati mwengine hata issue ndogo ndogo hufika hadi juu.
Kuzuia KCB kufanya hii deal wanaweza wakachukulia kama propaganda win ya kuonyesha ona hawa wakenya hawawezi wakamiliki benki zetu hata siku moja.
 
Tutamiliki benki zenu zote hivi karibuni.
African Banking Corporation (T) Ltd si bank yenye asili ya Tanzania. Ni sawa na KCB ainunue Equity Bank (T) Ltd. Bank zenye asili ya Tz ni kama Azania, NMB, CRDB, TPB Bank.....zinunueni hizo ndo tuone mmenunua bank za Tanzania.

Banc ABC ni bank imetoka Botswana kama si Angola.
 
Mwanzo nilisikia Equity ndio walitaka kuinunua hiyo bank ya makaburu ya ABC. A friend of mine is working at ABC let me ask him nijue uelekeo wao.
 
Unaongea ni kama nyani ndio waliofungua account katika CRDB. Ni Watanzania wenzako wanaomiliki akaunti katika benki ya CRDB. Unamaanisha nini ukisema "benki zetu unazijua?"
Uje uulize kwanza ni waTanzania wangapi wanaitumia hio BancABC
 
Kwahiyo siku moja ukisikia KCB inanunua CRDB utaendelea kuamini hicho unachokiamini kuwa sisi wabongo tupo vizuri na hao wanunuzi wa bank yetu kuwa uchumi wao ni wakwenye makaratasi? Tz kweli tuna kazi
Kwani kununua bank inababatilisha ukweli kwamba uchumi wa Kenya wa makaratasi?
 
Kwahiyo siku moja ukisikia KCB inanunua CRDB utaendelea kuamini hicho unachokiamini kuwa sisi wabongo tupo vizuri na hao wanunuzi wa bank yetu kuwa uchumi wao ni wakwenye makaratasi? Tz kweli tuna kazi
Unafikiri hakuna regulator katika kuhakikisha taasisi za fedha zinafanya vizuri?

Mabank kununuliwa haijaanza leo, na huu ni muendelezo wa kuboresha biashara kwa kufuata misingi sahihi na kwa maendeleo ya uchumi wetu.

Mkuu laiti ungeyajua yaliyoko nyuma ya hayo mabank yanayonunuliwa ungefurahia kinachoendelea sababu ni kwa maslahi ya Tanzania
 
Ok ! uje inbo nifafanulie huenda nikapata madini ambayo nilikuwa siyajui na utamaduni wangu napenda sana kujifunza
 
Ok ! uje inbo nifafanulie huenda nikapata madini ambayo nilikuwa siyajui na utamaduni wangu napenda sana kujifunza

Yapo mengi yahusianayo na taasisi za fedha. Uko uhuni mwingi sana, ukiukwaji wa sheria na taratibu za uendeshaji kijanjajanja kwa maslahi ya wawekezaji au watawala wa hizo taasisi.

Kuna sehemu Tanzania kama nchi tulikosa umakini kwa muda....... ila sababu sheria zipo na mifumo ipo inafika wakati wa kurudi kwenye mfumo na kusahihisha makosa, na hapo ndio ushauri wa regulator kwa kuzingatia maslahi mapana ya pande zote unafanyiwa kazi kwa haya unayoyaona
 
Duhhh hatari/// kwenye sekta ya mabank inaonekana kuna magumashi mengi sana kiusimamizi na kiundeshaji.Mama D upo njema sana
 
Duhhh hatari/// kwenye sekta ya mabank inaonekana kuna magumashi mengi sana kiusimamizi na kiundeshaji.Mama D upo njema sana
Haya mambo yalianza 2016. Wajanja zaidi waliuzia wenzao na kutimka, wengine waliamua kufuata taratibu lakini wanapoona pumzi inakaribia kukata ni bora kuchagua njia sahihi kuendelea kusurvive

Ukumbuke unapokwepa kufuata taratibu leo unaweza pata faida lakini inapobainika ulikwepa kutimiza wajibu wako utashurtishwa kurudi nyuma na kufuata njia sahihi na kulipia gharama sahihi

Tufate sheria na taratibu bila shurti, tunaweza kufanya ujanja leo lakini tukumbuke unapokua na mifumo sahihi hakuna linalofichika
 
Una evidence gani kuwa benki zenu hazifuati sheria? Na kama ni kweli basi serikali yenu ndio imezembea na kuwakubalia kuvunja sheria
 
Una evidence gani kuwa benki zenu hazifuati sheria? Na kama ni kweli basi serikali yenu ndio imezembea na kuwakubalia kuvunja sheria
Umeuliza swali ambalo tayari lina majibu kwenye uliponiquote
Halafu usiseme bank zetu, sema banks sababu hizi taasisi sio kwamba zote ni za kitanzania 100%. Zipo nyingi tuu ambazo majority shareholders sio watanzania
 
Bank ABC na michezo ya bobdiamond na wenzie kwenye biashara ya pesa😎😎 Wajanja waliikimbia wakawaachia equity. Sijui equity wamefika nayo wapi
Uje uulize kwanza ni waTanzania wangapi wanaitumia hio BancABC
Wenye nayo walishaiuza kimyakimya tangu mwaka Jana. Walioinunua nao sijui wameshtuka nini
 
Bank ABC michezo ya bobdiamond na wenzie kwenye biashara ya pesa😎😎 Wajanja waliikimbia wakawaachia equity. Sijui equity wamefika nayo wapi

Wenye nayo walishaiuza kimyakimya tangu mwaka Jana. Walioinunua nao sijui wameshtuka nini
Watajuana wenyewe. Naona hawa Wakenya wanafurahia tu hawajui hata soko la Tz likoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…