KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

Wataelewa tuu, tena wala sio muda mrefu.... mwakani kabla ya majira ya masika kwisha😁😁😁
Wakenya akili yao ni kuona Tanzania haiwapiti kwa lolote. Kitu ambacho kimetufanya nasi tubadili uelekeo na kuwaona hawa si wenzetu bali washindani wetu.

Bank zao zinapumulia gas huku, Equity iko taabani.
Sasa sijui wanajisifu nini?
 
Wakenya akili yao ni kuona Tanzania haiwapiti kwa lolote. Kitu ambacho kimetufanya nasi tubadili uelekeo na kuwaona hawa si wenzetu bali washindani wetu.

Bank zao zinapumulia gas huku, Equity iko taabani.
Sasa sijui wanajisifu nini?

Hiki kinachoendelea ndio tushawapita hivyo na hawakijui ndio maana hawaelewi😁😁😁
 

Kenya ndio baba la Afrika Mashariki na Kati. Equity bank imenunua benki mbili DR congo. KCB ipo South Sudan na Ethiopia. KCB ipo Uganda na Tanzania. I&M inapanga kununua benki Uganda. Sasa KCB inapanga kununua benki Rwanda na Tanzania. Hakuna nchi hapa Afrika Mashariki ambayo hatujanunua benki kutoka kwao. Hakuna benki hapa EA ambayo ipo safe from Kenyan banks. Hivi karibuni benki zote ukanda huu zitamilikiwa na benki za Kenya​

KCB plans to acquire Rwandan and Tanzanian banks​

Kenyan commercial banks are looking beyond their borders for acquisitions.​

In Summary
• KCB will pay cash for the shares in the Rwandan bank, it said in a statement, to be computed using a price to book multiple of 1.09.
• It also aims to make an offer to the remaining shareholders to acquire more shares on the same terms as the 62 per cent already agreed, KCB said.
by REUTERS News

QHPmmLgf2qyBoilQLfzygraATzW9QzZH7OrKqWZqcpTVEeDNvxcplDCGnCCZr2H48PfAkECuwIkj7ATzqKYsQj9vphP6=s500

Kenya’s top lender by assets, KCB Group, plans to acquire 62.06 per cent in Banque Populaire du Rwanda and 100 per cent in African Banking Corporation Tanzania Limited, it said on Thursday.
Kenyan commercial banks are looking beyond their borders for acquisitions, seeking to tap growing opportunities in the wider East Africa region, driven by rapid economic growth and trade integration.
KCB will pay cash for the shares in the Rwandan bank, it said in a statement, to be computed using a price to book multiple of 1.09.

It also aims to make an offer to the remaining shareholders to acquire more shares on the same terms as the 62 per cent already agreed, KCB said.
In the ABC Tanzania deal, KCB will also pay cash, using a price-to-book multiple of 0.42, the group said.
Both transactions are still subject to various approvals including those of regulators in all three markets, KCB said. (Reporting by Duncan Miriri; Editing by Clarence Fernandez)
Nyie nunueni benk Sisi tupo busy kutekeleza miradi ya kistratejia
 
Hahaha. Mimi nipo Kenya section. Wewe umekuja kufanya nini Kenya section?
Kenya section kwani iko huko Kenya? Hii ni yetu Watanzania kujadili mambo yanayotuhusu sisi na Kenya.

Unakuja hapa kujadili KCB inanunua Banc ABC, hivi unadhani ni KCB ya Kenya? Ni KCB (T) LTD iko listed DSE....unadhani ni sisi wa kuja
Halafu ilikuwa utani tu na wala usiwe na presha.
Usiwe na shaka, nawajua ndugu zangu mkishiba githeri mnakuja kujifariji humu na kujiliwaza. Sisi Watanzania ni wakarimu sana. Hata mkitaka dada zetu njooni mchukue. Nashangaa Diamond na Kiba wamebeba dada zenu, tumeshafunga 2 nil nyie hata mmoja huku hamjachukua. Why?
 
nomasana Hehe. Noma sana inasemekana mzee wa nyumba akiona comment yako mambo itaharibika. Mama D anarequest politely udelete hio comment ndio usiharibu maneno kwa nyumba
 
Back
Top Bottom