KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

Wataelewa tuu, tena wala sio muda mrefu.... mwakani kabla ya majira ya masika kwisha😁😁😁
Wakenya akili yao ni kuona Tanzania haiwapiti kwa lolote. Kitu ambacho kimetufanya nasi tubadili uelekeo na kuwaona hawa si wenzetu bali washindani wetu.

Bank zao zinapumulia gas huku, Equity iko taabani.
Sasa sijui wanajisifu nini?
 
Wakenya akili yao ni kuona Tanzania haiwapiti kwa lolote. Kitu ambacho kimetufanya nasi tubadili uelekeo na kuwaona hawa si wenzetu bali washindani wetu.

Bank zao zinapumulia gas huku, Equity iko taabani.
Sasa sijui wanajisifu nini?

Hiki kinachoendelea ndio tushawapita hivyo na hawakijui ndio maana hawaelewi😁😁😁
 
Nyie nunueni benk Sisi tupo busy kutekeleza miradi ya kistratejia
 
Hahaha. Mimi nipo Kenya section. Wewe umekuja kufanya nini Kenya section?
Kenya section kwani iko huko Kenya? Hii ni yetu Watanzania kujadili mambo yanayotuhusu sisi na Kenya.

Unakuja hapa kujadili KCB inanunua Banc ABC, hivi unadhani ni KCB ya Kenya? Ni KCB (T) LTD iko listed DSE....unadhani ni sisi wa kuja
Halafu ilikuwa utani tu na wala usiwe na presha.
Usiwe na shaka, nawajua ndugu zangu mkishiba githeri mnakuja kujifariji humu na kujiliwaza. Sisi Watanzania ni wakarimu sana. Hata mkitaka dada zetu njooni mchukue. Nashangaa Diamond na Kiba wamebeba dada zenu, tumeshafunga 2 nil nyie hata mmoja huku hamjachukua. Why?
 
nomasana Hehe. Noma sana inasemekana mzee wa nyumba akiona comment yako mambo itaharibika. Mama D anarequest politely udelete hio comment ndio usiharibu maneno kwa nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…