KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

Kodi unalipia benki yeyote blaza hilo toka muda tu na kcb imeongezwa juzi tu hapo kabla ya hapo ulikua huwezi kulipa kodi za TRA kupitia KCB huo ni uwanja wangu hayo matango pori mlishane wenyewe.....na hizo kodi zinalipwa kwa kutumia control number na akaunti ya TRA ambayo haihusiani na bank yeyote .....hilo form hata kama limeandikwa kcb unaweza hata kwenda kulipia crdb,exim,nmb na wengine na hivohivo hata kama form imeandikwa benk ya kulipia ni NMB unaweza ukaenda nayo ukalipia hata kwenye tawi la kcb..........
 
NMB serikal ina 20% hisa 80% ni ya wakaburu
NBC ni ya wakaburu kaka yaani NBC NA ABSA/barclays Bosi ni moja mkaburu
Ila serikali ipo............hao wengine hata asilimia 0 wanayo? Serikali ina asilimia ngapi kcb? Hata hio kcb ukifatilia historia yake ilianzia zenji
 
Siku zote inasemwa alalae usimwamshe
 
Hadi raha na bado mtakoma tu.
 
Ila serikali ipo............hao wengine hata asilimia 0 wanayo? Serikali ina asilimia ngapi kcb? Hata hio kcb ukifatilia historia yake ilianzia zenji
Sio kweli. KCB historia yake Ilianzia India kisha ikaja Kenya. Ilikuja Kenya na ikawa benki ya kwanza Kenya na hio ilifanyika zaidi ya miaka mia moja iliopita. KCB haikuanzia Zenji.
 
Sio kweli. KCB historia yake Ilianzia India kisha ikaja Kenya. Ilikuja Kenya na ikawa benki ya kwanza Kenya na hio ilifanyika zaidi ya miaka mia moja iliopita. KCB haikuanzia Zenji.

Kuna kitu wamekianzisha kwao huko wanakiita TCB ila kimebuma kushahibiana na KCB.
 
Kuna kitu wamekianzisha kwao huko wanakiita TCB ila kimebuma kushahibiana na KCB.
Kushahibiana na hii KCB (T) hii kwa bongo ni another mediocre bank tu kama bank nyingine utopolo za huku bora kidogo hata hao equity kwa huku........TCB mshindani wake akijikwamua sana watakua wakina NMB na CRDB ila sio hako ka kcb
 
Sishangai sana kwa maneno yako, miongoni mwa benki kubwa za Tanzania CRDB imepata mizengwe mingi sana kufungua tawi kenya, wafanyabiashara wengi wa Tanzania wenye mitaji mikubwa wamewekewa mizengwe mingi kuanzisha biashara kenya, wakenya kuja na kufanya biashara na kazi yoyote Tanzania hamna anayewawekea mizengwe mmejazana mpaka kwenye maduka ya rejareja, TIME WILL TELL, YOU WILL KNOW WHY YOUR FOLLY
 
Sio kweli. KCB historia yake Ilianzia India kisha ikaja Kenya. Ilikuja Kenya na ikawa benki ya kwanza Kenya na hio ilifanyika zaidi ya miaka mia moja iliopita. KCB haikuanzia Zenji.
National bank of India kwa Afrika mashariki walianzia Zenji ndo baadae wakafungua branch Mombasa......kama hutaki jipige dole nusa kalale
 
Umeanza Xenophobia sio? Unataka kuchochea ili Wakenya wapigwe huko Tanzania sio?
 
Uwekezaji ni ruksa kabisa Tanzania, kikubwa ni kimoja tuu kwamba vigezo na masharti vizingatiwe
benk yenyewe ilishajifia, ni sawa na yalipoingia kichwakichwa kununua hisa za precission air, kwetu hii ni faida maana benki hii haikuwepo njooni tuvune kamtaji mlikonako
 
Kwani kununua bank inababatilisha ukweli kwamba uchumi wa Kenya wa makaratasi?
mkuu tuwaelimishe, hajui kwamba KCB ni jina tu serikali ya kenya pamoja na wakenya hisa zao/umiliki wao katika benki hii haufiki hata robo .HAHAHAHA
 
mkuu tuwaelimishe, hajui kwamba KCB ni jina tu serikali ya kenya pamoja na wakenya hisa zao/umiliki wao katika benki hii haufiki hata robo .HAHAHAHA
Alisikika akisema mganga mmoja kutoka Lazyland Republic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…