KCB sasa ina asset value ya ksh 1 trillion. ($10 billion)

Unajua maana ya maendeleo, kuendelea maana yake ni kuboresha hali ya maisha ya leo kuwa bora kuliko jana, Tanzania tumekua tukipiga hatua ya kuboresha hali za raia wetu kila siku, kama ulivyosema katika kipindi cha Kikwete tulikua hatujitoshelezi kwa chakula, leo hii tinazalisha zaidi ya mahitaji yetu na tunauza chakula cha ziada kwa nchi zingine, umeme vijijini ilikua ni nadra, sasa hivi karibia vijiji vyote umeme unawaka, huduma za Afya na hali ya usalama vimeimarika sana.

Kenya wao ni tofauti sana, hayo matatizo niliyoyataja ni toka wapate uhuru wao, hakuna ambalo linapata nafuu, hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoongezeka, ni aibu kwa nchi kama ya Kenya kukumbwa na njaa tangu wapate uhuru hadi leo na hawatafuti ufumbuzi wa tatizo kwa takriban miaka 60 sasa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
That does not mean the private sector has no role to play. Tell me, how much do you think Safaricom or KCB pump into Kenyan economy?
 
That does not mean the private sector has no role to play. Tell me, how much do you think Safaricom or KCB pump into Kenyan economy?
Who said, hazina umuhimu?, wacha kudandia mada bila kuelewa, muhusika ameelewa na ameamua kukaa kimya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
The guy is mad with our private sector because it's performing better than both their private and public sectors.
Hahaha, it is making you jealous when we compared Muhimbili vs Nairobi Hospital, instead of Muhimbili vs Kenyatta Hospital.

Hapa tunataka kulinganisha Kenya vs Tanzania, sio wageni wanaoishi Kenya vs Wanaoishi Tanzania.

Private sectors mara nyingi ni wageni ndio wanaozimiliki, lakini hata kama ni raia wa nchi husika, lakini hazitoi picha ya uwajibikaji wa serikali za nchi husika.

Kwanini hamtaki kulinganisha GoK vs GoT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
GOK - $100b
GOT - $60b

KPA - 1.4m MT
TPA - 600,000 MT

KPLC - 7.2m customers connected to electricity.
TANESCO- 2.7m customers connected.

KRB - 21,000km of paved roads
TANROADS - 9,000km of paved roads.

KAA - 13m PAX in 2019
TAA- 5m PAX in 2019.
 
GOK - $100b
GOT - $60b

KPA - 1.4m MT
TPA - 600,000 MT

KPLC - 7.2m customers connected to electricity.
TANESCO- 2.7m customers connected.

KRB - 21,000km of paved roads
TANROADS - 9,000km of paved roads.
Tanzania Debts 36%
Kenya Debts 80%

Tanzania Electrification 84%
Kenya 64%

Tanzania Corruption 5%
Kenya Corruption 89%

Tanzania tribalism 0%
Kenya tribalism 99%

Tanzania food production 120%
Kenya food production 45%

Tanzania security and peace #53 in the World
Kenya Peace and Security #125 in the World

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Makampuni haya yameajiri maelfu ya Wakenya na yanalipa vizuri. Kwa hivyo yamesaidia kupunguza ukosefu wa ajira, point yako namba 6. Na yamepunguza umasikini. Pia yanalipa ushuru ambayo serikali inatumia kulipa mishahara ya Waalimu na Madaktari.
 
Tanzania electrification is 32%[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116]
 
Asante. Umezungumza kwa hekima sana.
 
Lazima chupi zitawabana mwaka huu, this is Magufuli sio Jakaya, na bado mtaendelea kuisoma namba, pambaneni na njaa kwanza ndio kitu muhimu kuliko hata umeme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni zaidi ya robo ya uchumi wote wa Tanzania, yaani ujumuishe uchumi wa Tanzania yote bara na visiwani........kampuni moja tu ya Kenya.
Acha kuwa mvivu wa kufikiri ewe mkosa mawazo chanya....... Unaufahamu uchumi wetu vizuri ewe mkenya mkosa upeo?!
 
Makampuni haya yameajiri maelfu ya Wakenya na yanalipa vizuri. Kwa hivyo yamesaidia kupunguza ukosefu wa ajira, point yako namba 6. Na yamepunguza umasikini. Pia yanalipa ushuru ambayo serikali inatumia kulipa mishahara ya Waalimu na Madaktari.
Unaweza kulinganisha kati ya KCB na CRDB au NMB ya Tanzania, ni Bank ipi iliyotoa ajira nyingi zaidi?, Ninakuhakikishia NMB mchango wake katika uchumi wa Tanzania ni mkubwa sana kuliko mchango wa KCB katika uchumi wa Kenya, pamoja na kwamba mtaji wake sio mkubwa kama wa KCB, hiyo ndio tofauti kati ya Kenya na Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hio ni uongo. Niko ready kuleta data ya mchango wa KCB katika uchumi wa Kenya. Na wewe ulete data ya CRDB
 
Hio ni uongo. Niko ready kuleta data ya mchango wa KCB katika uchumi wa Kenya. Na wewe ulete data ya CRDB
Hahahaha, ninakuhakikishia mchango wa NMB katika uchumi wa watanzania ni mkubwa zaidi ya KCB katika uchumi wa Kenya:

Kwanza lazima uelewe kwamba mchango wa Bank katika uchumi husika haimaaninshi kodi inayotoa kwa setikali, ila inamaanisha "Banking services kwa wananchi".

NMN inao wateja wengi, tena wateja wa vijijini ambako KCB wala haitaki kwenda, KCB inalenga wateja wakubwa na makampuni yenye pesa nyingi, hivyo mchango wake katika nchi ni unalingana na "Big malls" au Supermakets, "Urban oriented services".

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kila taifa linakopa kwa sababu zake, nyie huko kwa umaskini huwa mnafadhiliwa hata kwenye bajeti, ama kwa hakika mumeidhalilisha Afrika.
Nchi pekee kusini mwa jangwa la sahara ambayo uchaguzi wake 100% haijaomba misaada, itawachukua Kenya miaka 50 ijayo kugharamia uchaguzi wake by 100%

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…