Kila taifa linakopa kwa sababu zake, nyie huko kwa umaskini huwa mnafadhiliwa hata kwenye bajeti, ama kwa hakika mumeidhalilisha Afrika.
Hahahaha, ninakuhakikishia mchango wa NMB katika uchumi wa watanzania ni mkubwa zaidi ya KCB katika uchumi wa Kenya:
Kwanza lazima uelewe kwamba mchango wa Bank katika uchumi husika haimaaninshi kodi inayotoa kwa setikali, ila inamaanisha "Banking services kwa wananchi".
NMN inao wateja wengi, tena wateja wa vijijini ambako KCB wala haitaki kwenda, KCB inalenga wateja wakubwa na makampuni yenye pesa nyingi, hivyo mchango wake katika nchi ni unalingana na "Big malls" au Supermakets, "Urban oriented services".
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
wewe lazima unatumia mihadarati! kwa fikra zako unadhani KCB haipo vijijini?? unataka kutuhadaa kuwa hiyo sacco NMB ina wateja wengi kuliko KCB (wawe vijijini au mjini?). Je umesha sikia huduma iitwayo KCB MTAANI ? fuata hii link ikutoe kwenye giza la tanzagiza https://ke.kcbgroup.com/ways-of-banking/agents.Hahahaha, ninakuhakikishia mchango wa NMB katika uchumi wa watanzania ni mkubwa zaidi ya KCB katika uchumi wa Kenya:
Kwanza lazima uelewe kwamba mchango wa Bank katika uchumi husika haimaaninshi kodi inayotoa kwa setikali, ila inamaanisha "Banking services kwa wananchi".
NMN inao wateja wengi, tena wateja wa vijijini ambako KCB wala haitaki kwenda, KCB inalenga wateja wakubwa na makampuni yenye pesa nyingi, hivyo mchango wake katika nchi ni unalingana na "Big malls" au Supermakets, "Urban oriented services".
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri bila jazba kile ninachoandika, n sijasema KCB haisaidii uchumi wa Kenya, bali nimesema mchango wake ni mdogo ukilinganisha na NMB.Kwani mchango wa kuajiri maelfu ya Wakenya sio mchango? Kwani mchango wa kutoa ushuru kwa serikali sio mchango? Labda mimi ndio nafikiria kama mchumi. Mimi nilifunzwa darasani kuwa ukitaka kupima mchango wa kampuni fulani au mradi fulani katika uchumi unaangalia njia zote ambazo kampuni hio au mradi huo unavyofaidi uchumi. Impact kwa uchumi lazima tuangalie kila kitu. Ikiwemo hata treasury bills and bonds ambayo KCB inanunua kutoka kwa serikali. Hapa namaanisha deni ambayo KCB inatoa kwa serikali ya Kenya. Takriban nusu ya deni ya Kenya ni local debt. Na majority ya hio local debt imetolewa na banks na KCB kwa sababu ni benki kubwa wao hukopesha serikali pesa nyingi. Halafu KCB pia hukopesha wakenya wa kawaida na Makampuni za Kenya pia na huu ni mchango mkubwa sana kwenye uchumi wa Kenya. Kampuni nyingi zinahitaji mikopo ili kufanya expansion.
Sasa wewe tatizo lako ni kuwa umefocuss tu kwa kitu kimoja. Kama benki haipunguzi umasikini directly basi unaipuuza. Kwako unadhani kuwa kampuni au project yoyote ambayo haimgusi masikini directly ni useless. Lakini hio sio economics hio ni uganga. Economics inadeal na mambo yote yanayosaidia uchumi kukua. Kwa akili yako hio, five star hotels haisaidii uchumi wa Kenya au Tanzania kwa sababu masikini hawezi kuafford vyakula vya five star. Kulingana na wewe Tanzania haifai kununua ndege yoyote kwa sababu masikini hawezi kuafford kupanda ndege. Kulingana na wewe Tanzania haifai kuwa na malls kwa sababu masikini hawezi kuafford kununua chochote ndani ya mall. Hii ni akili ya kijamaa. Ukweli ni kwamba malls zina mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania na Kenya. Ndege zina mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania kwa sababu ndege itabeba tourists kutoka Germany na kuwaleta Ngorongoro au Mt. kilimanjaro. Five star hotel ni muhimu katika uchumi wa Tanzania kwa sababu tourist hawezi kubali kulala katika hoteli duni Kwa hivyo kama mnataka tourists lazima pia hoteli ziwe za kimataifa. Au kama mnataka conferences lazima hoteli zenu ziwe za kimataifa. Wacha kabisa hio mentality yako kwamba jambo lolote ambalo haligusi masikini basi halisaidii uchumi wa nchi. KCB sio lazima iguse kila masikini Kenya ili iwe na faida katika uchumi wa Kenya.
huna habari kwamba mnakopa ili kusaidia bajeti[emoji23][emoji23]
au unajishughulisha na tanzania hata ya nchi yenu huyajui??
Hahaha, wewe ni Zezeta, unasema NMB ni Saccos, NMB is the biggest Bank in Tanzania by Assets, ninakuhakikishia bila wasiwasi wowote, NMB ina wateja wengi kuizidi KCB, tena inawezekana idadi ya wateja ni mara mbili ya wateja wa KCB. KCB inaweza kuwa na "branches" mara 3 ya matawi ya KCB huko Kenya, wacha kucheza na NMB kabisa wewe.wewe lazima unatumia mihadarati! kwa fikra zako unadhani KCB haipo vijijini?? unataka kutuhadaa kuwa hiyo sacco NMB ina wateja wengi kuliko KCB (wawe vijijini au mjini?). Je umesha sikia huduma iitwayo KCB MTAANI ? fuata hii link ikutoe kwenye giza la tanzagiza https://ke.kcbgroup.com/ways-of-banking/agents.
Tony254 bro, stop arguing with this nincompoop atakuambukiza ujinga!
Kuwa benki kubwa huko tanzagiza sio kigezo chochote! ikiwekwa kwenye ratili hapa Kenya, hiyo NMB ni sacco kama Harambee sacco ama Stima sacco.Hahaha, wewe ni Zezeta, unasema NMB ni Saccos, NMB is the biggest Bank in Tanzania by Assets, ninakuhakikishia bila wasiwasi wowote, NMB ina wateja wengi kuizidi KCB, tena inawezekana idadi ya wateja ni mara mbili ya wateja wa KCB. KCB inaweza kuwa na "branches" mara 3 ya matawi ya KCB huko Kenya, wacha kucheza na NMB kabisa wewe.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Huo ndio upumbavu wenu wa kusherehekea GDP hewa wakati Nairobi kuna tatizo la maji, slums, ajira na bado Kenya watu wanakufa kwa njaa.Kuwa benki kubwa huko tanzagiza sio kigezo chochote! ikiwekwa kwenye ratili hapa Kenya, hiyo NMB ni sacco kama Harambee sacco ama Stima sacco.
View attachment 1640116
umeshawekewa Total Assets za KCB hapa, huwezi linganisha na huu upuuzi wa NMB tafadhali jiheshimu.
usibadili mada sista! tulia sindano ipenye. nataka nikuwekee hadi idadi ya wateja wa NMB, kwa sasa naona Stima sacco inapumulia NMB kwa kisogo.Huo ndio upumbavu wenu wa kusherehekea GDP hewa wakati Nairobi kuna tatizo la maji, slums, ajira na bado Kenya watu wanakufa kwa njaa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Soma post #84, usinipotezee mudausibadili mada sista! tulia sindano ipenye. nataka nikuwekee hadi idadi ya wateja wa NMB, kwa sasa naona Stima sacco inapumulia NMB kwa kisogo.
hii ni repoti ya 2019, ebu cheki idadi ya wateja wa hiyo sacco iitwayo NMB na ulinganishe na idadi ya wateja wa KCB. tafadhali usiikimbie mada.Hahaha, wewe ni Zezeta, unasema NMB ni Saccos, NMB is the biggest Bank in Tanzania by Assets, ninakuhakikishia bila wasiwasi wowote, NMB ina wateja wengi kuizidi KCB, tena inawezekana idadi ya wateja ni mara mbili ya wateja wa KCB. KCB inaweza kuwa na "branches" mara 3 ya matawi ya KCB huko Kenya, wacha kucheza na NMB kabisa wewe.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Loans received by banks are liabilities. Kumbe I'm discussing with a toddler.
Tunakopa ili kukidhi bajeti za miundo mbinu, nyie mnafadhiliwa kwenye bajeti za uendeshaji wa serikali, maana mishahara na pia vihela mnavyotumia kuwalipa hao viongozi wa upinzani akina Mdee.
Punguza ujingahii ni repoti ya 2019, ebu cheki idadi ya wateja wa hiyo sacco iitwayo NMB na ulinganishe na idadi ya wateja wa KCB. tafadhali usiikimbie mada.
View attachment 1640128
View attachment 1640129
Uchaguzi ambayoi ulikuwa 10billion Kenyan shillings,Nchi pekee kusini mwa jangwa la sahara ambayo uchaguzi wake 100% haijaomba misaada, itawachukua Kenya miaka 50 ijayo kugharamia uchaguzi wake by 100%
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
naona sindano inafanya kazi! yaani Stima sacco ikija tanzagiza inaluwa ya tatu kwa Asset base.
Lakini YoungD amekuaibisha sana. Amekuwekea evidence kuwa benki yenu kubwa kabisa inapata revenue sawia na Stima Sacoo. Hahahaha. Yaani NMB inapata revenue ya $10 million kwa mwaka na Stima sacco inapata revenue ya $85 million kwa mwaka? Hahaha enyewe uchumi wenu hautoshani na wetu. Bank yenu kubwa inatengeneza revenue (kipato) sawa na sacco yetu.Huo ndio upumbavu wenu wa kusherehekea GDP hewa wakati Nairobi kuna tatizo la maji, slums, ajira na bado Kenya watu wanakufa kwa njaa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ndio sababu nikakuambia nyie wakenya ni wajinga sana, mnashabikia ripoti za mezani wakati "on the ground" mnakufa njaa. Mchango wa NMB kwa Tanzania ni mkubwa zaidi ya mchongo wa KCB kwa uchumia wa Kenya, japo by Assets KCB inashinda NMB.Lakini YoungD amekuaibisha sana. Amekuwekea evidence kuwa benki yenu kubwa kabisa inapata revenue sawia na Stima Sacoo. Hahahaha. Yaani NMB inapata revenue ya $10 million kwa mwaka na Stima sacco inapata revenue ya $85 million kwa mwaka? Hahaha enyewe uchumi wenu hautoshani na wetu. Bank yenu kubwa inatengeneza revenue (kipato) sawa na sacco yetu.
Halafu bado unataka kulinganisha NMB inayozalisha revenue ya $10 million kwa mwaka na KCB inayozalisha $866 million kwa mwaka?
Geza Ulole The best 007
Ni nchi pekee Africa ambayo inatumia pesa nyingi katika uchaguzi kuliko katika kusambaza maji kwa wananchi, Failed state. Vipi unatumia pesa nyingi ambazo huna utagemea kuomba wakuongezee?Uchaguzi ambayoi ulikuwa 10billion Kenyan shillings,
Unlike ya Kenya Digital election ilikuwa 50billion but 75% from tax payers money,
75% ya Kenya Ni mara tatu ya iyo yenu 100% 10billion analog election.
Huyo jamaa yako ni mwendawazimu ndio sababu sitaki hata kumjibu, uongo mwingi na hajui lengo la huu mjadala. Lengo la mjadala ni kulinganisha mchango wa hizi Bank mbili ktk uchumi wa Tanzania na Kenya, sio ukubwa wa mapato.Lakini YoungD amekuaibisha sana. Amekuwekea evidence kuwa benki yenu kubwa kabisa inapata revenue sawia na Stima Sacoo. Hahahaha. Yaani NMB inapata revenue ya $10 million kwa mwaka na Stima sacco inapata revenue ya $85 million kwa mwaka? Hahaha enyewe uchumi wenu hautoshani na wetu. Bank yenu kubwa inatengeneza revenue (kipato) sawa na sacco yetu.
Halafu bado unataka kulinganisha NMB inayozalisha revenue ya $10 million kwa mwaka na KCB inayozalisha $866 million kwa mwaka?
View attachment 1640172
Geza Ulole The best 007