DOKEZO KCMC sitorudi nikiwa na akili timamu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Rekebisha Namba 5
2023 Bado Hatujafika
 
Mkuu sometimes shida tunayoona kwa mgonjwa huwa ni mshtuko tu ko mnamuacha apumzike anakaa vema

Sema ndugu mnapenda kuona mgonjwa kawekewa drip, oxygen, catheter na cannula 3 ndo muhisi katibiwa kweli

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Siyo kuzidiwa tu, hayo anayoyasema ni kiburi cha uzima..!! Hata akifia nyumbani, bado mochwari ya KCMC inaweza husika..!!
Mkuu niliyoandika ndiyo niliyoshuhudia kwa mchana mmoja tu.

Binafsi nimeanza kutibiwa KCMC mwaka 1996, malalamiko ninayotoa ni kwa sababu nafahamu huduma bora zilizotolewa miaka ya nyuma.

Kweli madaktari wanajadili kuchanika kwa mikeka ya betting huku wakihudumia wagonjwa[emoji849]
 
Pamoja na kuchukua sekunde zangu kadhaa kukwambia miwani inakopatikana, ukaona uende KCMC kwa wachaga wenzako

Sasa umekoma [emoji23][emoji23][emoji23]

Yan ningekuwa nakujua ningekucheka week nzima
Acha tu mkuu!
 
Kcmc ilikuwa zaman saiv ni chuo cha wanafunzi wameshindwa kuweka mambo Sawa n kuyaongoz vizuri mbona muhimbili wanaweza kwa sababu ya usimamiz mzuri baina ya chuo na hospital ukichanganga kimoja tu ndio tunapata haya tunayo yaona
 
Kama huna hela inabidi uwe mpole tu wenye hela wanaenda zao India, south Africa n.k hata muhimbili kama hujuani na mtu utachina apo hii ndo Africa
 
Kuwa Daktari hakumzuii kubet as long kubet Tanzania ni legal hayo ni maisha yake binafsi nenda mawenzi uone
 
Asante ndugu mwandishi umefafanua mambo ya msingi sana. Na yoote ni muhimu mno kwa mujibu wa Huduma Bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…