DOKEZO KCMC sitorudi nikiwa na akili timamu

DOKEZO KCMC sitorudi nikiwa na akili timamu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kulikuwa na zeruzeru miaka ya nyuma mhudumu wa mortuary hapo KCMC alikuwa anagonga sana maiti za kike. Jamaa naye alifarikigi.
Dah umenikumbusha mbali sana yule zeruzeru tulikuwa tunamwogopa alikuwa anakuja mitaa ya kalimani,pasua nk tulikuwa tunajifungia ndani wakati huo ni watoto.
 
Mfano dokta kisanga ambaye sahivi ni mkurugenzi wa jakaya kikwete cardiac institute yule jamaa kumpata ilikua ni mbinde Kuna mda inabidi utumie njia za kirahamia hivi hivi unampataje alikua na lundo la wagonjwa
Dr kisenge ulikuwa unamtafutia wapi humpati mkuu? Kisenge karibia clinic zangu zote ndio kanihudumia kule OPD muhimbili na kwenye ECHO ndio nilikuwa namkuta sasa nashangaa wewe ulikuwa humpati wapi?
 
Pale Bugando nilipewa huduma nzuri sana ya upasuaji 2020 . Nikamwambia jamaa yangu kumbe watu wa Mwanza mpo motivated sana na hii hospitali.

Jamaa akaniambia ,aliyebadili mfumo wa hii Hosp ni JPM . Hapa kulikuwa na harufu za kujuana na rushwa.

Daah! Nashukuru MUNGU sikupitia kipindi kigumu
BMC uhuni wote aliuondoa JPM basi yeye ndio alileta Mkurugenzi Prof Makubi na sasa ndio Katibu mkuu wizara ya afya akawabinya wahuni wachache mapato yakapanda sana, Hospitali ikafanya maboresho makubwa kuanzia mazingira hadi upande wa huduma
 
Exactly ni kisenge anajua kinoma mambo ya moyo assume alikua ni muajiriwa wa jkci na ana clinic muhimbili
Kisenge amekuwepo Muhimbili hata hiyo JKCI haijaanza hata msingi tu, Yeye pamoja na Prof Janabi, Dr Mvungi wamenihudumia sana tatizo langu la moyo now niko njema namshukuru Mungu
 
KCMC kuna uzi uliwekwa humu ndani na staff wa hapo kama sikosei ilikuwa ni barua ya wazi kwa Mh Rais wanadai pale uozo ni mkubwa sana hadi kwa staff ukabila na kutokujali wafanyakazi hasa wa kanda zingine malalamiko ni mengi sana staff wanafanya kazi kama watoto wa Bata!
 
Huwa nawashauri watu Wala si Kwa Ubaya, Kama hakuna ulazima wa Kwenda KCMC usiende kabisa. Na kama Ni Magonjwa ya Kawaida kwamba mtu anajisikia Kichwa kuuma, mara tumbo sijui Typhoid huwa nashauri usikanyage KCMC KABISA. Utapima Leo majibu yatatoka baada ya siku kadhaa na usipokuwa makini hutayapata kabisa.


Nenda KCMC kama Ugonjwa wako ni Unahitaji utaalamu zaid kama Mifupa, Macho na ukifika nenda idara husika ya ugonjwa wako au Iwe umepewa rufaa kutoka hospitali nyingine.

Pili Kama hauna Bima paogope KCMC kama kituo cha polisi kwa maana Kutelekeza mgonjwa ni jambo jepesi sana juu ya bili kubwa.

Tatu USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIPO. KCMC hii hii iliniokolea wapendwa wangu mwaka jana, ingawa Nilileta varangati kwa sababu baadhi ya wahudumu wanachukulia mambo kirahisi sana, yaani kama Haufuatilii kwa umakini utapoteza mgonjwa wako, Leo naandika hapa Kuwashukuru. Bila wao wapendwa wangu ningewapoteza.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Dr kisenge ulikuwa unamtafutia wapi humpati mkuu? Kisenge karibia clinic zangu zote ndio kanihudumia kule OPD muhimbili na kwenye ECHO ndio nilikuwa namkuta sasa nashangaa wewe ulikuwa humpati wapi?
Ndio nilikua simpati kama wewe ulikua unampata ni wewe
 
Kisenge amekuwepo Muhimbili hata hiyo JKCI haijaanza hata msingi tu, Yeye pamoja na Prof Janabi, Dr Mvungi wamenihudumia sana tatizo langu la moyo now niko njema namshukuru Mungu
Kwa kukusaidia dr kisenge alikua kcmc hata kabla hajaja muhimbili amefanya sana kazi kcmc miaka ya nyuma
 
Hiyo namba 9 ipo hospitali nyingi tu.
Sijui wanataka nini hawa madaktari?
Au hawataki tupate matibabu hospitali nyingine kupitia vipimo vyao? 🙄
Wanataka ukienda sehemu ingine uanze upyaa..vipimo na matibabu..tena sehemu nyingine wanakwambia kabisa kuwa hawaamini hayo majibu ya uko ulipotoka😂😂
 
Back
Top Bottom