Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,236
Dah qmamake walah mecheka Hadi rahaKuna kijana anaitwa -----Mcharo, yupo hapo pharmacy ya juu ghorofa ya kwanza! Siku nikibarikiwa kupata hata gobole ntarudi kumtafuta nimsalimie!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah qmamake walah mecheka Hadi rahaKuna kijana anaitwa -----Mcharo, yupo hapo pharmacy ya juu ghorofa ya kwanza! Siku nikibarikiwa kupata hata gobole ntarudi kumtafuta nimsalimie!!
Mwamba alikua club wife akatafta Gia ya kumrudisha na kumtuiza hme mazima had kupambazukeSasa mkuu alikuwa anaumwa kweli huyo wife au alikuwa anakuzuga? Wakati mwingine msiwe mnaendeshwa na wake zenu.
Mtu kaugua ghafla tena tatizo linaloonekana kuwa ni kubwa saa nane usiku. Then akaishia kunywa mchai chai na halijarudia tena. Na bado unataka kulaum Hospitali haikukupa huduma uliyoyarajiwa?
Kila mgonjwa analipia, kimbembe ni yupi ahudumiwe kwanza, ahudumiwaje nk.Kwani huduma si analipi? kwani anatibiwa bure.
rufaa mbeya mbeya,haimo eti,au ukubwa wa majengo?Hospitali kubwa Tanzania ni kcmc ya Kilimanjaro, bugando ya mwanza na muhimbili ya dar es salaam.
Umeisahau Benjamini Mkapa ya DodomaHospitali kubwa Tanzania ni kcmc ya Kilimanjaro, bugando ya mwanza na muhimbili ya dar es salaam.
Exactly ni kisenge anajua kinoma mambo ya moyo assume alikua ni muajiriwa wa jkci na ana clinic muhimbiliDr Kisenge not Kisanga
Hiyo ndo point yangu Kuna jamaa aliistaki kairuki private hospital ambayo ungetegemea ni hospital nzuri kwa kumwambia ana cancer kumbe hanaBongo kila taasisi ni kama ina laana
Tanzania tunaishi kwa Neema ya Mungu ndo maana omba Mungu Sana usiumwe magonjwa ya nje ya box hutoboi na kama ukiwa na kipato Cha chini ndo bye byeupendo pale BUNJU B.hata niwe nimezimia nikisikia wananipeleka pale nitazinduka.waliniuzia dawa ya mswaki ya 1,500 kwa 11,000.
Imepita miaka 12 mpaka Leo roho inaniuma.
Juzi napita kea miguu wananiita nikanywe dawa ya mabusha.nilijikausha Kama siwasikii vile.ndukiiii
Kama ilikuwa inatolewa bure si ndio ungelipizia bei ya dawa ya mswakiupendo pale BUNJU B.hata niwe nimezimia nikisikia wananipeleka pale nitazinduka.waliniuzia dawa ya mswaki ya 1,500 kwa 11,000.
Imepita miaka 12 mpaka Leo roho inaniuma.
Juzi napita kea miguu wananiita nikanywe dawa ya mabusha.nilijikausha Kama siwasikii vile.ndukiiii
Kwan hy KCMC ni ya Taifa?Hayupo ila wale wanaheshimu pesa yako
Hata ajira za pale zinatolewa kwa kujali ukabila na udini kuna huyu mama anaitwa VIVIAN SARIA HUYU DADA NI KIONGOZI WA WAUGUZI (MATRON ) AJICHUNGUZE NA PIA ABADIRIKE AROBAINI YAKE IPO KARIBUKCMC imebaki jina tu, hospitali hii pendwa kwa miongo kadhaa sasa nakiri mbele ya umma, labda nipelekwe sijitambui ila kwa huduma nilizopata na kushuhudia kwa wateja wengne, hakika huu ndio mwisho wangu kutia miguu hospitali hii.
1. Customer care mbovu, hawajali wagonjwa /wateja.
Madaktari wengne wanafoka bila sababu za msingi, wewe daktari uliyenifokea kisa nimekaa kwenye kiti tofsuti na ulichotaka pasipo kufaham nimekusamehe bure.
2. Kujuana kwingi, mtu amekuja saa 1 asubuhi anapewa namba 70 mwingne anakuja saa 6 anapewa namba 40, yaani wewe unapita mizunguko ya kutosha ila wengne wanakuja na kupata huduma ukishangaa kwenye bench.
3. Wahudumu/ madaktari wengi nlowaona ni vijana wadogo wadogo tu, hawako serious wanapiga stori za kubeti na kombe la dunia tu[emoji848]
4. Vipimo vya mchongo, baada ya kumwona daktari anakushauri kuchukua kipimo kingne kwa daktari mwingne anakutajia na pesa umpe, la ajabu zile pesa zinachukuliwa kwa siri na risiti hakuna.
5. No privacy, inakuaje hospitali kubwa kama hii wagonjwa mnasikilizwa kwa pamoja km mko darasani?
6. Mgonjwa anaumwa macho anaambiwa aende arudi siku nyingne muda umekwisha akati ameshinda hospitali tangu asubuhi, eti akameze paracetamol km ana maumivu.
Wewe dada uliyekuwa chumba cha miwani tareh 25-11-2022 saa 11 jioni Mungu akusamehe hukustahili kuwa muhudumu wa afya kabisa.
7. Huduma moja nimetajiwa bei mbili tofauti na wahudumu wawili tofauti tena chumba hicho hicho, tofautivya elfu 30, is it possible?
8. Hospitali ya rufaa haina lens ya miwani kweli hadi waagize tena nisubiri miezi miwili[emoji848]
9. Mgonjwa unatibiwa hupewi maelezo ya tatizo lako kwa ufasaha na hupewi document yoyote kuhusu majibu ya vipimo, taarifa zinabaki kwenye computer zao, huu ni uungwana?
10. Mapokezi naulizwa dini yangu ili nini? Kwamba huduma za afya zinachagua dini???
NB. Nimeandika kwa ufupi tu ila hayo ni baadhi ya mambo yaliyonisibu KCMC na kunifanya niamue rasmi kuipa kisogo hii hospitali.
Sina ubaya na mtu yeyote anayehusika na hospitali hii na wala simfahamu yeyote ila nawasihi watumishi tuheshimu mahali pa kazi.
😅😅😅😅upendo pale BUNJU B.hata niwe nimezimia nikisikia wananipeleka pale nitazinduka.waliniuzia dawa ya mswaki ya 1,500 kwa 11,000.
Imepita miaka 12 mpaka Leo roho inaniuma.
Juzi napita kea miguu wananiita nikanywe dawa ya mabusha.nilijikausha Kama siwasikii vile.ndukiiii
Mjomba pole sana hata mm nilifunga safari mwisho wa siku nilirudi bill hudumaKCMC imebaki jina tu, hospitali hii pendwa kwa miongo kadhaa sasa nakiri mbele ya umma, labda nipelekwe sijitambui ila kwa huduma nilizopata na kushuhudia kwa wateja wengne, hakika huu ndio mwisho wangu kutia miguu hospitali hii.
1. Customer care mbovu, hawajali wagonjwa /wateja.
Madaktari wengne wanafoka bila sababu za msingi, wewe daktari uliyenifokea kisa nimekaa kwenye kiti tofsuti na ulichotaka pasipo kufaham nimekusamehe bure.
2. Kujuana kwingi, mtu amekuja saa 1 asubuhi anapewa namba 70 mwingne anakuja saa 6 anapewa namba 40, yaani wewe unapita mizunguko ya kutosha ila wengne wanakuja na kupata huduma ukishangaa kwenye bench.
3. Wahudumu/ madaktari wengi nlowaona ni vijana wadogo wadogo tu, hawako serious wanapiga stori za kubeti na kombe la dunia tu[emoji848]
4. Vipimo vya mchongo, baada ya kumwona daktari anakushauri kuchukua kipimo kingne kwa daktari mwingne anakutajia na pesa umpe, la ajabu zile pesa zinachukuliwa kwa siri na risiti hakuna.
5. No privacy, inakuaje hospitali kubwa kama hii wagonjwa mnasikilizwa kwa pamoja km mko darasani?
6. Mgonjwa anaumwa macho anaambiwa aende arudi siku nyingne muda umekwisha akati ameshinda hospitali tangu asubuhi, eti akameze paracetamol km ana maumivu.
Wewe dada uliyekuwa chumba cha miwani tareh 25-11-2022 saa 11 jioni Mungu akusamehe hukustahili kuwa muhudumu wa afya kabisa.
7. Huduma moja nimetajiwa bei mbili tofauti na wahudumu wawili tofauti tena chumba hicho hicho, tofautivya elfu 30, is it possible?
8. Hospitali ya rufaa haina lens ya miwani kweli hadi waagize tena nisubiri miezi miwili[emoji848]
9. Mgonjwa unatibiwa hupewi maelezo ya tatizo lako kwa ufasaha na hupewi document yoyote kuhusu majibu ya vipimo, taarifa zinabaki kwenye computer zao, huu ni uungwana?
10. Mapokezi naulizwa dini yangu ili nini? Kwamba huduma za afya zinachagua dini???
NB. Nimeandika kwa ufupi tu ila hayo ni baadhi ya mambo yaliyonisibu KCMC na kunifanya niamue rasmi kuipa kisogo hii hospitali.
Sina ubaya na mtu yeyote anayehusika na hospitali hii na wala simfahamu yeyote ila nawasihi watumishi tuheshimu mahali pa kazi.
Pole sana. Mm pia nashangaa kwa nini waninyime majibu ya vipimo vyangu? Nilienda kupiga x-ray hospital ya Dar Group. Jambo la ajabu walikataa kunipa picha yangu ya x-ray ingawa nililipa huduma hiyoKCMC imebaki jina tu, hospitali hii pendwa kwa miongo kadhaa sasa nakiri mbele ya umma, labda nipelekwe sijitambui ila kwa huduma nilizopata na kushuhudia kwa wateja wengne, hakika huu ndio mwisho wangu kutia miguu hospitali hii.