DOKEZO KCMC sitorudi nikiwa na akili timamu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwamba alikua club wife akatafta Gia ya kumrudisha na kumtuiza hme mazima had kupambazuke
 
Hiyo namba 9 ipo hospitali nyingi tu.
Sijui wanataka nini hawa madaktari?
Au hawataki tupate matibabu hospitali nyingine kupitia vipimo vyao? πŸ™„
 
Pale Bugando nilipewa huduma nzuri sana ya upasuaji 2020 . Nikamwambia jamaa yangu kumbe watu wa Mwanza mpo motivated sana na hii hospitali.

Jamaa akaniambia ,aliyebadili mfumo wa hii Hosp ni JPM . Hapa kulikuwa na harufu za kujuana na rushwa.

Daah! Nashukuru MUNGU sikupitia kipindi kigumu
 
upendo pale BUNJU B.hata niwe nimezimia nikisikia wananipeleka pale nitazinduka.waliniuzia dawa ya mswaki ya 1,500 kwa 11,000.
Imepita miaka 12 mpaka Leo roho inaniuma.
Juzi napita kea miguu wananiita nikanywe dawa ya mabusha.nilijikausha Kama siwasikii vile.ndukiiii
 
Tanzania tunaishi kwa Neema ya Mungu ndo maana omba Mungu Sana usiumwe magonjwa ya nje ya box hutoboi na kama ukiwa na kipato Cha chini ndo bye bye
 
Kama ilikuwa inatolewa bure si ndio ungelipizia bei ya dawa ya mswaki

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hata ajira za pale zinatolewa kwa kujali ukabila na udini kuna huyu mama anaitwa VIVIAN SARIA HUYU DADA NI KIONGOZI WA WAUGUZI (MATRON ) AJICHUNGUZE NA PIA ABADIRIKE AROBAINI YAKE IPO KARIBU
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mjomba pole sana hata mm nilifunga safari mwisho wa siku nilirudi bill huduma
 
Pole sana. Mm pia nashangaa kwa nini waninyime majibu ya vipimo vyangu? Nilienda kupiga x-ray hospital ya Dar Group. Jambo la ajabu walikataa kunipa picha yangu ya x-ray ingawa nililipa huduma hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…