KDF amphibious attack was the first by an African military



Mwanajeshi gani anaenda na Chupa hiyo kwenye combat. Pia Body language Ya hao waliojiuzia maji ya raia(kwa maelezo ya waliokutafsilia kilichouwepo kwenya mifuko) wao haionyeshi kama kulikuwa na risasi yoyote, wanatembea hadi wanashngaa matangazo ukutani utadhani wako kanisani.

hata hawa utasema ni wamebeba maji, maana macho yako yana infra red
 
kumbe kulikuwa na comoro,sudan,senegal,libya na france....minadhani ni tz peke yake
 
FRANCE,.......hahaha.... You were offered a lift to comoros by france..... But I've to congratulate wabongo for destroying amin... ....though i usually ask my self why Kenya failed to join the war to oust amin dada...... We could have been more united as eastafricans then we went into somali and this time round tanzania did not join as in this just war against terrorism.....tanzania should be in Somali of all countries fighting along as kenyans and ugandans......thats how nations create bonds...........
 
Wachache hata DRC tulikuwa 1000 tu lakini kazi ilifanyika
 

Na unaandika kitu hata usichokijua! maji humiminiwa kwenye hiyo combat suit water bottle, sio eti hununuliwa ikiwa na maji! Kwa hivyo, KDF wana maji yao na wana hiyo combat suit bottles!
 
Vipi kuhusu kwenda na tanks garisa
Was they planning to bomb the campus ama [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
There were alshabaab snipers who were blocking the entrance they had to use that vehicle because iko bullet proof.. Soo next time fikiria kwanza kabla uropokwe
 
kumbe kulikuwa na comoro,sudan,senegal,libya na france....minadhani ni tz peke yake

Yaani Wakenya wanaanzisha Wikipedia just to distort ukweli.

France ndia waliomtrain col Abubacak na ndio waliokua nyuma yake na ni France waliomtorosha na kumpeleka kwenye kisiwa wanacho kikontro Mayyote.

Tanzania troop in Comoros was on its own na rais wao alikuja Tanzania bungeni kutoa shukran, why asiende nnchi hizo nyingine?

Mda wote wa mapigano, picha za wanajeshi Comoros zipo. Post picha za sudan or senegal kwenye action in Comoros.
 

We fought so many wars along with many nations. Kwanini tuwe somalia
 
We fought so many wars along with many nations. Kwanini tuwe somalia
East africa is safer with a peaceful somalia.... Remember the 1997 bombings of both Tanzania and nairobi were able to take place because of the failed systems in somali.......... if this terrorist are able to influence mombasa the same thing will happen to Zanzibar......as they say terror is like cancer once one region is infected it is only a matter of time before the rest is infected or affected.
 

The mainland constitution is specifically designed to round up islamic radicals on the island of Zanzibar, BTW this is the only reason why we have the union.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…