MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
hio ni emergency situation ambapo mlio ukipigwa unakota bunduki na kuvaa bulet proof ata haujui ni wapi unapelekwa na itachukua mda ghani, eti ulikua unataka waanze kujiuliza tutakula nini ikifika mchana? alafu kitu chengine hauezi ambia askari atoke ndani ya jumba wakati oparesheni inaendelea eti aje achukue maji, na huko ndani waliko wanaeza wakajisaidia . angalia hio video tena kwa umakini, alafu usome hio habari tena, alafu ufikirie vizuri kabla uanze kuongea...
Na BTW KDF wako na maji yao hujitengezea wenyewe... kwahivyo vitani ambapo wana mda wa kujitayarisha wanabeba maji yao wenyewe, si kama nyinyi kule comoros mlisafirishwa, mkapewa silaha na hata mkalishwa na wafaransa mda wote mlipokua huko alafu ndo mnasifia
View attachment 416745
Mwanajeshi gani anaenda na Chupa hiyo kwenye combat. Pia Body language Ya hao waliojiuzia maji ya raia(kwa maelezo ya waliokutafsilia kilichouwepo kwenya mifuko) wao haionyeshi kama kulikuwa na risasi yoyote, wanatembea hadi wanashngaa matangazo ukutani utadhani wako kanisani.
hata hawa utasema ni wamebeba maji, maana macho yako yana infra red