KDF in Mozambique

Ndege zipi za kivita KDF wanazo zaidi ya F-5 ambazo ni sita pekee moja ilitunguliwa na Alshabaab. Hizi ndege zimezeeka sana, ni second generation na ni mbovu karibia zote, zikiruka zinatoa Moshi mwingi na kasi yake ni ndogo Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehehe zungumzia kuhusu jeshi lenu pia. Wamebaka wanawake wa Congo na watoto wengi sana ndio maana waliharibiwa sura kwa mapanga by Congolese kids.
TPDF ni jeshi lilo na nidhamu sana, hauwezi wapata na vituko kama za kulala usiku badala ya kulinda doria ama kudhulumu wanawake/ kunajisi..
Sifa za KDF ni kunajisi,wizi hadi wa bidhaa kama biskuti, uzembe na ujinga..
Kama wapo hapo mozambique, Ni muhimu Jeshi lao liwasimamie sababu wahana discipline...wataharibu badala ya kusaidia waadhiriwa
 
Hahaha! 😀 Pumba tupu. Alafu hili povu sio la kawaida. Unaumwa wapi? Tumbo?
 
hili povu la mwaka kweli...walibaka sana congo na kujiletea nadhara ya kupigwa mapanga
 

Kimya kimya bila mbwembwe, wengine wakitoa hata mfuko wa unga kwa hawa wahanga inatangazwa kileleni mwa mlima Kilimanjaro huku wakijisifia donor country.
UN haiwatambui
 
UN haiwatambui
Mkuu hivi unaamini ni kweli zile picha ni kweli kdf wanatoa msaada mozambique,mkenya si wa kumwamini hata kidogo,uongo na kujikweza ndio jadi yao,unaweza kukuta wakenya wanaochangia uzi wote awajala kutokana na njaa iliyo nchini mwao, waulize sasa km wamekula!
 
UN haiwatambui
Tanzanian plane supplied aid and departed! You are nolonger there, wacha next update uangalie ni nchi gani bado zitakua huko!Hapo kwa heading inasema tropical cyclone idai, internationa deployed assets (as of 29th March 2019) . Mlipeleka ndege moja mkaangusha chakula na mkaondoka..... KDF wako on the ground kufanya kazi ngumu zaidi, Search and rescue and recovery, miili ya wafu lazima ipatikane popote ilipo na familia za walio pona wapewe mili wakazike---- hio tayari ni mojawepo ya kazi ngumu sana , Magonjwa nayo lazima yatibiwe, Na hilo eneo lote llililo haribiwa na maji lazima vyoo vijengwe na nyumba zirekebishwe, usafi ufanyike na miundombinu irekebishwe ili maisha yarudi kawaida, hii ni mission inaeza chukua zaidi ya miezi sita!!!!!!
 
Kama KDF haina transport capability tilipelekaje tani 50 za chakula kule South Sudan? Tulisafirishaje wakenya 3,000 kutoka South Sudan wakati vita vilianza???





KDF evacuation in south Sudan 2013










 
Kitengo cha DRU kiko chini ya kikoso cha Engneering brigade...

Hapa wakifanya training ya Search Rescue/Recovery









Hua wanatumia gari maalum ambazo zinabeba kila aina ya vifaa vinavyohitajika kwa kazi kama hio

 
Mafunzoya kushuka kutoka kwa jengo kama hakuna ngazi
 
Mafunzo ya CBRN pia lazima wapitie -- CBRN inamaanisha - Chemical, biological, radiological and nuclear defense
 
Mimi nilitaka kujua msaada ambao KDF wametoa, thamani yake ni kiasi gani?, Kenya kwa sasa imefilisika haina uwezo wa kutoa msaada wowote wa maana zaidi ya kutaka publicity, kama njaa tu mumeshindwa kuimaliza, vipi mtaweza kutoa msaada mkubwa Kama Tanzania?, acheni kujipiga kifua, Shughulikieni njaa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya sisi na nyinyi ni nani ambaye anataka publicity, Hakuna nchi nyengine iliotangaza imepeleka madawa kiasi gani wala chakula kiasi ghani, Nyinyi Tanzania mmeanza leo na tayari kiburi kimefika kwa koo eti unataka sasa tuanze kulinganisha misaada iliotolewa na Ke Vs Tz na thamani yake...... What a low human bieng you are!
Kenya itasaidia ndugu zake siku zote, hata kama hatuna kitu sio kama nyinyi mnasadia msimu wa mahindi pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…