joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ndege zipi za kivita KDF wanazo zaidi ya F-5 ambazo ni sita pekee moja ilitunguliwa na Alshabaab. Hizi ndege zimezeeka sana, ni second generation na ni mbovu karibia zote, zikiruka zinatoa Moshi mwingi na kasi yake ni ndogo Sana.Mzee, yaani miaka yote hii bado hujachoka na hizi ligi? Hata kwenye misiba? Kando na ndege za kivita Kenya Airforce(KAF) wana ndege zingine za kijeshi, za transport. Kwa mfano tu, acha nikupe kionjo.Hizi C-27J Spartan TMTA(Tactical Military Transport Aircraft) wanazo tatu. Wanazo pia Habrin Y-12, Antonov-An28, Cessna 208 zile DHC-5 Buffalo za zamani pia. Kenya Airforce wana hadi Bombardier Dash8! Kwa ujumla KAF wana takriban ndege 29 za 'transport' na 'utility' tu, bila kuhesabu chopper na zile ndege zingine za kivita.![]()
Sent using Jamii Forums mobile app