KDF in Mozambique

Point ni kwamba Kenya hamna uwezo wa kutoa msaada, Kama hata chakula bado mnasaidiwa hadi Leo miaka 56 baada ya Uhuru. Nchi zote zinazotoa misaada zinajitangaza, hata ninyi mlipotupatia vile vi blanket vya kichina tulipokumbwa na tetemeko mlitangaza.

Tumepeka msaada wa vyakula, madawa, nguo na blankents "TanzaniAid"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekusikia sasa bwana majigambo. Kalale . Alamsiki!
 
ha ha Bongolala ni watu wa ajabu, jambo ndogo sasa hatuwezi pumua..
joto la jiwe kw kuteta thuu...hajambo...yani jamaa hz thread za wakenya zinamuumiza kichwa sana...halali bila kutoa povu...big up lkn kijana...nitakuunganisha na jamaa wa online job upige kazi..manake naona unapenda sana ku type
 
Mshaiga kunya kwa tembo? Na msamba wa kutosha lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndizo sifa za KDF, hawafikirii kingine ni ngono tuu..Tunaomba kamanda wao wapatie amri ya kujipiga punyeto wakiwa huko mozambique wasiiletee nchi aibu

MAT - by the way, I always wondered, hiyo user name yako na picha. I was just curious to know if you support Jubilee and if you like Kikuyus. If so and if you are a man, then here is a wink from a girl 😉

so niambie basi, ni wakikuyu watupenda na jubilee waipenda pia?
 
Jeshi la Tanzania huwezi kulifahamu mpaka uwachokoze na hapo ndipo utaona kilichomtoa kanga manyoya.
Watoto wadogo ndo huongea hivyo.. Inaitwa kujenga nyumba ya makaratasi
 
Wote mpo sahihi haina haja ya kulumbana. I recognize effort done by Tanzanians likewise efforts done by Kenyans. Kenya wameplay part yao na Tanzanians wameplay part yao. Sisi sote ni ndugu no need of criticizing each other.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is what a person who is genuinely helping his brother should speak like..... Lakini kuna jamaa wengine hapa ndani wanataka tuanze kulinganisha thamani na impact ya msaada wa Ke Vs TZ kana kwamba ni mashindano ya nani amesaidia zaidi
 
More on KDF in Mozambique









Commander anaeongoza kikosi cha KDF (Second from right -ameshikilia kitabu chekundu)akiwa na ma kamanda wa nchi zengine ambao pia wametuma wanajeshi huko mzambique
 
Rubishi sasa kama ingekuwa kimya kimya hizo picha ww umetoa matakoni kwako au

Sent using Jamii Forums mobile app
Srekali kuu haijatangaza lolote rasmi kama vile nyinyi mlifanya, hizi ni picha zilizo pigwa na KDF waliohuko na wakabandika kwa twitter, Lakini Serekali yenyewe haikusema kitu wakati hao wanajeshi wanatumwa na hadi sasa hakuna lolote limetajwa rasmi na serekali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…