KDF in Mozambique

Wanajeshi wa tz wapo toka enzi wanamtandika mreno,baadae fangilia mbali RENAMO.Wanaendelea kusaidia waathirika wa hili janga.mtawaacha huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyeshwe picha za JWTZ wakiwa msumbiji sio kelele nyingi ya wala chipsi mayai.

Tunajua jwtz haina uwezo wa kifedha kujipeleka huko unless wawe under the UN lakini peke yao afadhali wakabebe mangunia ya koroshow na kuvunja mawe ya quarry ama kuzuia bereau de change kufanya kazi...bure kabisa.
 
Wameenda mikono mitupu, hawakupeleka chochote cha maana zaidi ya kwenda kuuza sura, ndio sababu katika nchi zilizotambuliwa na UN kwamba zimetoa misaada huko Msumbiji, Kenya haijatajwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JWTZ lilimchapa Mreno huko msumbiji, na kumalizia RENAMO bila msaada wa nchi yoyote, juzi JWTZ imepeleka ndege na malori ya vyakula vya msaada katika nchi 3 yenye thamani ya zaidi $4M. Zaidi ya kuuza sura, KDF wamepeleka nini huko Msumbiji?, vipi Zimbabwe na Malawi, mbona hamkwenda, mumeishiwa pumzi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua mi fisiem hapo full mbwembwe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
joto la jiwe hiyo ni miaka ya kabla wengi wetu tuzaliwe. Kwa sasa nyie ni gofu la mlichokuwa nyakati zile hata fedha zenyewe za kusafirisha kamsaada hako kadogo iliwabidi mtumie ATCL(Tunajuwa jwtz hawana ndege ni watu wa kutembea).
KDF hata madaktari wake wapo pale msumbiji na mashine zake za kazi wakati jwtz inabeba mangunia ya koroshow kwa migongo.
 
Hivi hii inaleta maana yoyote?
Kama wananchi wa Kenya wamecheleweshewa chakula na madawa na kupelekea vifo😱
Leo hii mnataka copy kila alichofanya jirani yenu et kisa tu mpewe sifa za kuwa donor country
Stupid Kenyans
 
mahenda255 wakati tunaleta msaada baada ya tetemeko la ardhi tulikuwa tuna-copy nani?
Nyie hamna jeshi pale msumbiji na hata misaada mliotoa ni mihemko tu hata kiwango hicho kimetiwa hewa kuonekana kingi. Wapi jeshi waoga tz(jwtz) pale msumbiji?
 
mahenda255 wakati tunaleta msaada baada ya tetemeko la ardhi tulikuwa tuna-copy nani?
Nyie hamna jeshi pale msumbiji na hata misaada mliotoa ni mihemko tu hata kiwango hicho kimetiwa hewa kuonekana kingi. Wapi jeshi waoga tz(jwtz) pale msumbiji?
Hahahahahahaha, hukuona midege ya JWTZ inapakia madawa wakati waziri wa mambo ya nchi za nje anatangaza, au umesikiliza Maneno lakini picha hukuziona, au unataka kusema ile clip ni edited?. Angalia ripoti ya UN iliyozitaja na kuzishukuru nchi zilizotoa misaada, Kenya haipo, hii maana yake hamkupeleka chochote zaidi ya wanaeshi wenu dhahifu waliofukuzwa na UN huko South Sudan baada ya kushindwa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hiyo historia ninyi hamna zaidi ya KDF kutandikwa na Alshababu na kufukuzwa na UN baada ya kushindwa kazi huko South Sudan, mumejipendekeza kwenda Msumbiji lakini UN haiwatambui kama miongoni mwa nchi zilizotoa misaada.

Kipindi ambacho Mozambique wanahitaji msaada wa kujikomboa toka mikononi mwa wareno, ninyi mlifunga MILANGO hamkutaka hata kusikiliza shida zao, mlikua mnawaogopa mabwana zenu wazungu, Leo mumeona SADC countries zimeungana kusaidiana, eti mnajipendekeza, SADC hatuhitaji misaada toka nchi vibaraka wa wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe hapa sio kutafuta kiki ni kusaidia so weka picha za wanajeshi wenu pale MSUMBIJI wacha longolongo...picha?
 
joto la jiwe hapa sio kutafuta kiki ni kusaidia so weka picha za wanajeshi wenu pale MSUMBIJI wacha longolongo...picha?
Weka picha za misaada iliyotolewa na Kenya, sio kupeleka wauza sura, kinachoitajika ni vyakula madawa, nguo na malazi, hawana shida ya wanajeshi, wanajeshi wenu wanahitajika Somalia sio Msumbiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameenda mikono mitupu, hawakupeleka chochote cha maana zaidi ya kwenda kuuza sura, ndio sababu katika nchi zilizotambuliwa na UN kwamba zimetoa misaada huko Msumbiji, Kenya haijatajwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wivu utakuua


Hii ni mikono mitupu???





Sahii kuna outbreak ya cholera na malaria, Unafikiri ni kina nani wanatibu wagonjwa??




Punguza povu bana!
 
Tanzania ilikua na wanajeshi 6,000, Zimbabwe ilikua na wanajeshi 20,000 mbali na Mozambique yenyewe kua na wanajeshi 80,000... LAkini utakuta mitanzania ikijipiga kifua eti hao ndo walishinda...........
Vita kati ya Renamo na Frelimo hakuna aliyeshinda, viliishia katika military stalemate na viliisha baada ya negotiation, Ambapo Kenya ilikua mojawepo wa nchi zilizohusika katika negotiation hata juzi juzi rais wa Mozambique alipokuja Kenya alishukuru kenya kwa kuhusika kwa hio negociation,,,....... Alafu kama kenya haikusaidia huko Inakuaje wa Makonde kutoka Mozambique wanatambulika kama kabila la 43 hapa Kenya???


“We have a long history with Mozambique. As you may know, even during the Mozambican civil war, Kenya played a key role in terms of helping to negotiate between the Mozambique Liberation Front (FRELIMO) and the Resistência Nacional Moçambicana (RENAMO),” https://www.pulselive.co.ke/bi/poli...que-to-try-and-link-the-swahili-coast/xrpbqth




Rais wa Namibia Hage Gottfried Geingob , naye alipokuja Kenya alimualika retd.General wa Kenya army aende akapewe tuzo kwa Niaba ya Kenya kwa kupigania uhuru wa Namibia........ Kumbuka wakati huo Namibia ilikua inapigana na Apatheid South Africa ambayo wengi wenu hua mnapenda kusema Kenya ilikua inaikumbatia


According to Geinob, his country is preparing to award the retired general with the second highest honour as part of appreciation for the sacrifice and contribution he made, along with other Kenyan soldiers, towards Namibia’s liberation struggle.
“Kenya contributed outstanding soldiers to help in safeguarding stability. We invite Opande to come to Namibia to receive the award on behalf of all Kenyans,” said Geinob when he met with President Kenyatta
https://www.standardmedia.co.ke/article/2001305634/namibia-to-decorate-retired-kenyan-general-opande
 
Wewe wivu utakuua


Hii ni mikono mitupu???





Sahii kuna outbreak ya cholera na malaria, Unafikiri ni kina nani wanatibu wagonjwa??




Punguza povu bana!
Nani kakuambia wanashida na madaktari?, shida ni materials kama dawa, vyakula na sehemu za kuishi, hiyo picha hapo juu hakuna ushahidi wowote kwamba Kenya imetoa msaada, huyo chalii anayepokea huo mfuko wa mbolea ana uhusiano gani na serikali ya Msumbiji?, kawaida msaada hukabidhiwa kwa serikali kwanza, wao ndio wanajua wapi wapeleke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu hii ya Magu ndio imezorotesha uhusiano wa TZ na +254

Ni watu ambao hawana busara na hawathamini kufikiri ambae anaona chuki yetu na wakenya sio tatizo
 
Kati ya Mozambique na Zimbabwe nani alitangulia kupata uhuru? Nani ali-train Zimbabwe army?
 
Jiwe hana chuki na +254 ila anaenda nao ngadu ngadu aka jino kwa jino kwenye upuuzi wao wa kuhujumu bidhaa za tz
Awamu hii ya Magu ndio imezorotesha uhusiano wa TZ na +254

Ni watu ambao hawana busara na hawathamini kufikiri ambae anaona chuki yetu na wakenya sio tatizo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Wewe unaumwa sana, eti Msumbiji walikua na wanajeshi 80,000, kama kawaida yenu, kujifanya wajuaji lakini hamna mnalojua.

Kwa taarifa yako, wanajeshi 80,000 ni sawa na jumla ya wanajeshi wote wa Kenya + Tanzania +Uganda, vipi Frelimo ambayo ilianzishwa Tanzania hawakua na nchi wawe na jeshi kubwa kuliko nchi inayojitawala?.

Samora Moses Machell alikuja Tanzania akiwa na umri wa miaka 12, alisomea Tanzania, baadae alijiunga na vuguvugu la ukombozi wa Msumbiji na wakaanzisha FRELIMO China ya usimamizi wa Nyerere hapa Dar es Salaam, kiongozi wao wa kwanza alikua Mondlande.

Mondlande aliomba usaidizi wa jeshi kwenda kuanzisha vita vya ukombozi, JWTZ lilianza vita huko Msumbiji wakati huo huo likiwafundisha baadhi ya wakimbizi wa Msumbiji waliokua wanajeshi Tanzania, akiwemo Samora Machell, na mke wake wa kwanza kabla ya Grace, katika vita hivi, Museven akiwa Tanzania kama Mkimbizi, alimuomba Nyerere ili akapigane kama askari wa JWTZ ili apate uzoefu, aliruhusiwa ajaenda pamoja na kiongozi wa kwanza wa RPF ya Rwanda pia walishiriki, kwa ufupi, FRELIMO haikuwa na wanajeshi kabisa wakati wa kyanzisha vita, 80% ilikua JWTZ, hivyo hivyo kwa Zimbabwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…