Tanzania ilikua na wanajeshi 6,000, Zimbabwe ilikua na wanajeshi 20,000 mbali na Mozambique yenyewe kua na wanajeshi 80,000... LAkini utakuta mitanzania ikijipiga kifua eti hao ndo walishinda...........
Vita kati ya Renamo na Frelimo hakuna aliyeshinda, viliishia katika military stalemate na viliisha baada ya negotiation, Ambapo Kenya ilikua mojawepo wa nchi zilizohusika katika negotiation hata juzi juzi rais wa Mozambique alipokuja Kenya alishukuru kenya kwa kuhusika kwa hio negociation,,,....... Alafu kama kenya haikusaidia huko Inakuaje wa Makonde kutoka Mozambique wanatambulika kama kabila la 43 hapa Kenya???
“We have a long history with Mozambique. As you may know, even during the Mozambican civil war, Kenya played a key role in terms of helping to negotiate between the Mozambique Liberation Front (FRELIMO) and the Resistência Nacional Moçambicana (RENAMO),”
https://www.pulselive.co.ke/bi/poli...que-to-try-and-link-the-swahili-coast/xrpbqth
Rais wa Namibia Hage Gottfried Geingob , naye alipokuja Kenya alimualika retd.General wa Kenya army aende akapewe tuzo kwa Niaba ya Kenya kwa kupigania uhuru wa Namibia........ Kumbuka wakati huo Namibia ilikua inapigana na Apatheid South Africa ambayo wengi wenu hua mnapenda kusema Kenya ilikua inaikumbatia
According to Geinob, his country is preparing to award the retired general with the second highest honour as part of appreciation for the sacrifice and contribution he made, along with other Kenyan soldiers, towards Namibia’s liberation struggle.
“Kenya contributed outstanding soldiers to help in safeguarding stability. We invite Opande to come to Namibia to receive the award on behalf of all Kenyans,” said Geinob when he met with President Kenyatta
https://www.standardmedia.co.ke/article/2001305634/namibia-to-decorate-retired-kenyan-general-opande