Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!