Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Habari,

Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.

Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?

Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.

Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!

View attachment 2237718
View attachment 2237721
Yaani Nyerere unamfananisha na mambo ya ajabu?
[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Habari,

Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.

Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?

Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.

Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!

View attachment 2237718
View attachment 2237721
Hamuoni hata aibu kumfananisha Nyerere na Magufuli, hakuna anayemkebehi Nyerere ila magufuli anastahili kukebehiwa kwa sana
 
Yaani umfananishe Nyerere na hili jitu jizi uaji tekaji mwenye Kariba ya akina Makonda na Sabaya? Jitu amabalo linahonga nyumba ya Serikali kwa demu wake na kuvunja KATIBA ya nchi na kuogelea ktk rushwa,
Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini huwez mlinganisha na takataka hizi.
 
Habari,

Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.

Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?

Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.

Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!

View attachment 2237718
View attachment 2237721
Unaota.....
 
Mkuu wacha kumkosea baba yetu wa taifa kwa kumweka kundi moja ama kumfananisha na vituko. Legacy yake ii hai, huyu mwingine alishasahaulika.
Habari,

Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.

Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?

Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.

Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!

View attachment 2237718
View attachment 2237721
 
Wa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!
 
Nchi hii inawajinga wengi sana nandio maana tunachelewa kwa sababu ya kuwa na watu vilaza kama baadhi ya wachangiaji hapo juu.

Magu anakubalika 24/7 na wananchi kwa mamilioni, na wengi hawana access JF.
Nyerere alikuwa muoga kwa mabeberu Magu hakumuogopa mtuyoyote linaokuja swala la maslah ya nchi hata ccm wenzake wanajua.
 
Anayemkebehi Nyerere hajielewi ila anayemfananisha Magufuri na Nyerere huyo ni mfu wa mawazo.
 
Nchi hii inawajinga wengi sana nandio maana tunachelewa kwa sababu ya kuwa na watu vilaza kama baadhi ya wachangiaji hapo juu.

Magu anakubalika 24/7 na wananchi kwa mamilioni, na wengi hawana access JF.
Nyerere alikuwa muoga kwa mabeberu Magu hakumuogopa mtuyoyote linaokuja swala la maslah ya nchi hata ccm wenzake wanajua.
Anakubalika kwa sukuma gang na wajinga wenzie kama wewe lakini wenye akili hata siku moja hawamkubali Magufuri.
 
Usimweke Hayati Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere kwenye kundi moja na huyo kituko. Ni kashfa kubwa na dharau kwa baba yetu mpendwa wa taifa.

Nyerere alikua a state man, a visionary leader, a man of unquestionable integrity and very intelligent man. Mungu aendelee kumpa punziko jema la milele.

Huyo mwingine ni aibu ya taifa, hakuwa na akili, hakuwa na emotional intelligence, mkabila, mwongo, mbadhirifu,na ata kiingereza hakuwa anajua kuongea. Ni abu kwa taifa
Nyerere alikuwa mwongo mwongo.by Tindu lissu, upinzani wa tanzania pasua kichwa,unatembea na upepo.
 
Wa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!
Mengi aliyafanya chato. Wengine sisi tutamkumbuka kwa msala aliotuachia wa mamikopo ya ovyo ya matilioni ya shilingi
 
Back
Top Bottom