Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
Habari,nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu ,ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao ,Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii Chafu...
Wewe mtoa mada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwizi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.
Nyerere huwa anaongelewa na calibre za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.
Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
Usimweke Hayati Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere kwenye kundi moja na huyo kituko. Ni kashfa kubwa na dharau kwa baba yetu mpendwa wa taifa.
Nyerere alikua a state man, a visionary leader, a man of unquestionable integrity and very intelligent man. Mungu aendelee kumpa punziko jema la milele.
Huyo mwingine ni aibu ya taifa, hakuwa na akili, hakuwa na emotional intelligence, mkabila, mwongo, mbadhirifu,na ata kiingereza hakuwa anajua kuongea. Ni abu kwa taifa
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao...
Wewe mtoa nada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwisi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.
Nyerere hii anaongelewa na calible za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.
Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
Wewe mtoa nada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwisi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.
Nyerere hii anaongelewa na calible za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.
Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao...
Tatizo alikuwa na mapungufu mengi,anaungwa mkono na kundi la watu wachache,fikiria hata makamu wake wa rais kipindi kile alikuwa hamkubali,alivuruga demokrasi kuwapitisha wabunge wa CCM bila kupigwa,kipindi chake maiti zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba,na watu walikimbia inchi