Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,612
- 1,776
Alichofanya wala siyo kuchanganya pumba na mchele kwani vyote viwili vinaweza kuwa chakula cha kuku. Amejaribu kuchanganya vitu visivyoweza kuchanganyika kabisa; mfano sukari na mchanga!Mleta mada Naona umepata unachostahili!Kwa comment za juu ni wazi watu wamekataa usichanganye pumba na mchele
Kutokana na udhaifu wake mkubwa kiuongozi na kielimu alitafuta njia ya kufunika tatizo hilo kubwa. Aliamua na kufanikiwa kuwateka mawazo watu wenye uelewa mdogo na wanaosumbuliwa na umaskini kwa kuwajengea fikra kuwa dhiki yao inasababishwa na sheria na taratibu za nchi kuhusu biashara, watumishi wa serikali, matajiri na wazungu! Aliwawaburudisha na kuwafurahisha kwa kuwadhalilisha hadharani na kuwaumiza watumishi wa umma, wanasiasa wa upinzani na hata wasaidizi wake wakuu!Wa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!
Ulishuhudia uongozi wa Nyerere ukiwa na akili au umesikia tu. Nyerere hakuhitaji kusifiwa hovyo hovyo. Sana sana kulikuwa na nyimbo za kuelimisha kuhusu siasa za nchi na sera zake; siyo kiongozi!Nyerere alikuwa dikteta na Magufuli alikuwa dikteta wote wanafanana tu. Nyerere alizuia TV, redio binafsi na tulisikiliza RTD tu na ilikuwa ni misifa juu ya misifa. Sema tunamuheshimu kwa sababu alikuwa raisi wa kwanza. But alikuwa dikteta tena afadhali hata ya Magufuli.
Labda kama tabia na ushahidi wa kiongozi kutowaogopa mabeberu ni kujifungia ndani ya nchi yake na kutoshirikia mikutano yoyote ya ya nje ya nchi yake. Nyerere angewaogopa mabeberu asingekuwa anakwenda kwenye majukwaa ya kimataifa kukutana nao na kujibizana nao kwa nguvu ya hoja.Nyerere muoga kwa mabeberu? Hii umeitoa wapi ndugu? Alikuwa na mapungufu yake tena mengine yanatuathiri hadi leo lakini sijui hilo.
Nakubaliana nawe kwenye hili la kuwadhalilisha watendaji hadharani, jambo ambalo sio la kistaarabu kabisa. Lakini je, hakutusoma WaTz na kutuelewa udhaifu wetu? Maana sikumbuki kusikia ama kuona mtu ama watu wakimjibu kwa yale ambayo hayakuwa ya kiungwana. Ajabu hata Spika wa Bunge alikuwa kama kitoroli chake, na ndio mfano mzuri wa Watz. Alijaribu kutumia mfumo wa "Dikteta Mwema" kuwavutia masikini kwa vile alijua hakuna wa kumpinga. Ila, je hakuibadilisha nchi hii? Tuseme, katika kupima mema na maovu yake, mizania itaegemea upande upi zaidi kwa uzito?Kutokana na udhaifu wake mkubwa kiuongozi na kielimu alitafuta njia ya kufunika tatizo hilo kubwa. Aliamua na kufanikiwa kuwateka mawazo watu wenye uelewa mdogo na wanaosumbuliwa na umaskini kwa kuwajengea fikra kuwa dhiki yao inasababishwa na sheria na taratibu za nchi kuhusu biashara, watumishi wa serikali, matajiri na wazungu! Aliwawaburudisha na kuwafurahisha kwa kuwadhalilisha hadharani na kuwaumiza watumishi wa umma, wanasiasa wa upinzani na hata wasaidizi wake wakuu!
Ile 1.5 tr unajua ilo wapi? Au bei ya ndege alizonunua unajua bei yake? Ben Saanane unajua yuko wapi?A
Aliiba nini ndg yang...??? Alimuua nan...??? Huwez kuongelea wizi kipind cha JPM huko n kulogwa na pesa unazokula za kumchafua CHUMA.
Aliiba kitu gan au ufisadi gan yan... Ivi ukila pesa za kumchafua JPM ndio inabid kuwa na roho ya upofu kwa kias hicho... Waambie wakuongez mshahar kwa maan hiyo kaz n ngum sn.
Uvccm wezi sn wanatajana, kifaa cha milion 20 wananunua kwa 170 milions, ngorongoro imeuzwa kwa UAE na masai wanaondolewa, tozo kila kitu, mifumuko ya bei, maisha magumu, uongoz wa ovyo, safar zisizo na tija, usaliti uliokithiri, kesi za mchongo kwa viongozi wa upinzan, kuharibu vyama pinzan mfn NCCR
Huo kwako ndio uongozi, mikopo mpk nchi imewekwa mstari wa hatari na hakuna lolote la maana linafanyika... Shenzi kbsa
JPM hastahili hata kutamkwa na wajinga na mahaini kama nyie
Nikikumbuka hapo kwenye aibu kwa Taifa huwa nafikiria sanaUsimweke Hayati Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere kwenye kundi moja na huyo kituko. Ni kashfa kubwa na dharau kwa baba yetu mpendwa wa taifa.
Nyerere alikua a state man, a visionary leader, a man of unquestionable integrity and very intelligent man. Mungu aendelee kumpa punziko jema la milele.
Huyo mwingine ni aibu ya taifa, hakuwa na akili, hakuwa na emotional intelligence, mkabila, mwongo, mbadhirifu,na ata kiingereza hakuwa anajua kuongea. Ni abu kwa taifa
kwanini ?Achana na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hakuhusu.
hatari sanaJPM aliuwa watu ambao walitaka kuiua nchi. Kwanza hakuua sawasawa ningekua mm ningeua wanafiki na mafisadi wote tena nanyonga kbsa ili mseme vzr takataka nyie
Ujinga ni mzigo mzito sana,wakati mwingine muwe mnakaa kimya,kwani kila kitu ni lazima uchangie?Wewe mtoa mada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwizi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.
Nyerere huwa anaongelewa na calibre za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.
Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
Narudia , kumtaja Nyerere kwenye mjadala unaomhusu Magufuli ni ushahidi tosha kuwa wewe yvegenc prymacov umezaliwa after 1990s na ni MPUMBAVU tu.Ujinga ni mzigo mzito sana,wakati mwingine muwe mnakaa kimya,kwani kila kitu ni lazima uchangie?
Uwezi kuwa mwerevu mmoja mbele ya wajinga 100, itaonekana wewe ndio hujui,huwezi kuwa mpenda haki mmoja mbele ya wapenda haki 100,hivyohivyo Kwa magufuli yeye kama mwanadamu ana mapungufu yake Ila alikuwa na maadui wengi Kwa kuwa alichokuwa anakitaka kiwe Kwa watanzania wengi,wapo wachache hawakukubaliana nacho na ndio wenye mamlalka na nguvu za kiuchumi, hivyo ilikuwa lazima iwe vile watanzania hawapendi kujipatia Kwa juhudi Ila ni watu wa njia za mkato.Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Magufuri alileta:-Uwezi kuwa mwerevu mmoja mbele ya wajinga 100, itaonekana wewe ndio hujui,huwezi kuwa mpenda haki mmoja mbele ya wapenda haki 100,hivyohivyo Kwa magufuli yeye kama mwanadamu ana mapungufu yake Ila alikuwa na maadui wengi Kwa kuwa alichokuwa anakitaka kiwe Kwa watanzania wengi,wapo wachache hawakukubaliana nacho na ndio wenye mamlalka na nguvu za kiuchumi, hivyo ilikuwa lazima iwe vile watanzania hawapendi kujipatia Kwa juhudi Ila ni watu wa njia za mkato.