Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Magufuri alileta:-
1.Uchama
2.Ubaguzi
3.Ukabila
4.Wizi
5.Ubinafsi
6.Kiburi
7.Dharau
8.Mmomonyoko wa maadili ya Mtanzania
9.Mfarakano
10.Ujinga
11.Upumbavu
12.Uchawa
13.Kutowajibika
14.Uvivu
15.Ukupe.
Be serious
 
Ujinga ni mzigo mzito sana,wakati mwingine muwe mnakaa kimya,kwani kila kitu ni lazima uchangie?
Au wewe ndugu yetu haukusoma hata historia ya drs la VII, maana alichokiandika Ndiyo historia halisi ya nchi yetu. Kama ndivyo wewe huenda ukawa mkimbizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…