Tuwe wakweli Magufuli hata kumfananisha na Benjamin William Mkapa au Kikwete siyo sawa kabisa. Yule ashindanishwe na SHETANI tu nadhani atamshindaNyerere ana sanamu lake maeneo mbalimbali..
Huyo kichaa mwingine kamjengee nyumbani kwako itaendeza mkiona wewe,Mkeo na watoto wako.
Ndio watu washakataa kuchanganyiwa Pumba na mcheleTatizo watu Hamfuatilii mambo
Yule bwana alikuwa mharibifu wa kila kitu..Tuwe wakweli Magufuli hata kumfananisha na Benjamin William Mkapa au Kikwete siyo sawa kabisa. Yule ashindanishwe na SHETANI tu nadhani atamshinda
Yaani Nyerere unamfananisha na mambo ya ajabu?Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Hamuoni hata aibu kumfananisha Nyerere na Magufuli, hakuna anayemkebehi Nyerere ila magufuli anastahili kukebehiwa kwa sanaHabari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Unaota.....Habari,

Habari,

Anayemkebehi Nyerere hajielewi ila anayemfananisha Magufuri na Nyerere huyo ni mfu wa mawazo.Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Anakubalika kwa sukuma gang na wajinga wenzie kama wewe lakini wenye akili hata siku moja hawamkubali Magufuri.Nchi hii inawajinga wengi sana nandio maana tunachelewa kwa sababu ya kuwa na watu vilaza kama baadhi ya wachangiaji hapo juu.
Magu anakubalika 24/7 na wananchi kwa mamilioni, na wengi hawana access JF.
Nyerere alikuwa muoga kwa mabeberu Magu hakumuogopa mtuyoyote linaokuja swala la maslah ya nchi hata ccm wenzake wanajua.
Wewe umesema kweli,Magufuri was not a leader he was a dictator what he wanted on behalf of public he did and not the public to decide.Tuwe wakweli Magufuli hata kumfananisha na Benjamin William Mkapa au Kikwete siyo sawa kabisa. Yule ashindanishwe na SHETANI tu nadhani atamshinda
Nyerere alikuwa mwongo mwongo.by Tindu lissu, upinzani wa tanzania pasua kichwa,unatembea na upepo.Usimweke Hayati Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere kwenye kundi moja na huyo kituko. Ni kashfa kubwa na dharau kwa baba yetu mpendwa wa taifa.
Nyerere alikua a state man, a visionary leader, a man of unquestionable integrity and very intelligent man. Mungu aendelee kumpa punziko jema la milele.
Huyo mwingine ni aibu ya taifa, hakuwa na akili, hakuwa na emotional intelligence, mkabila, mwongo, mbadhirifu,na ata kiingereza hakuwa anajua kuongea. Ni abu kwa taifa
Mengi aliyafanya chato. Wengine sisi tutamkumbuka kwa msala aliotuachia wa mamikopo ya ovyo ya matilioni ya shilingiWa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!