Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Kwa hiyo Magufuli alinganishwe na Nyerere. Hata wewe kuna mazuri umefanya lakini hulinganishwi na nyerere. Au ni kwa sababu wote walikuwa marais? Msome na msikilize Nyerere na kamwe hutamlinganisha na huyo.
 
Kuchukiwa kwa nyerere na magufuli kuna simamiwa na watz wa asili ya KIARABU NA KIINDI wakishilikiana na team yao ambayo ni team msoga ...
Zungu
Rostam
Gsm
Manji
Abood
Singasinga wa pesa za rumbesa
Kikwete
Riziwani
Yussuf makamba na mtoto wake
Kinana
Nape
Membe
Muhongo
Sa100
Hao wamepanga kuwa hotuba za nyerere wala za magufuli zisisikike popote tz
 
Reactions: RNA
Kwa hiyo Magufuli alinganishwe na Nyerere. Hata wewe kuna mazuri umefanya lakini hulinganishwi na nyerere. Au ni kwa sababu wote walikuwa marais? Msome na msikilize Nyerere na kamwe hutamlinganisha na huyo.
Kila mtu anavigezo vyake vya kulinganisha mambo, mimi naona kuna baadhi ya mambo na sera wanalingana japoMagu alikuwamkali zaidi na hakutaka siasa za kijinga kwenye ukweli.
 
Reactions: RNA
Nyerere na JPM ni viongozi waliojali wananchi wake hasa wale waliokuwa wananchi wa kawaida!,
Wezi na mafisadi ndo wanawatukana na wana uwelewa mdogo!,
Mwenyezi Mungu awarehemu na walale mahali pema PEPONI,
AMINA
 
Kumbe!?!! Aisee hii ni mbaya sana!
 
Kuna wanaotaka Magu alaaniwe hahaha
 
Kila mtu anavigezo vyake vya kulinganisha mambo, mimi naona kuna baadhi ya mambo na sera wanalingana japoMagu alikuwamkali zaidi na hakutaka siasa za kijinga kwenye ukweli.
Watu walizoea kubembelezwa
 
Yote yalikuwa madikteta tupu
Nyerere alikuwa na akili za kipekee kuwahi kutokea Africa. Bila yeye huwezi kujivunia Tanzania, for me shida ni kuwa alijijua kuwa ni Genius na akawatukana watu wake kwa akili kubwa nao hawakushtuka mpaka anazikwa nayo ni hii

Alikuwa akihubiri "Chama kushika hatamu"

"Hatamu" maana yake ni kamba za kuongozea "farasi"

"Chama" ni nani au ni yeye maana ndo alikuwa mwenyekiti wa Tanu

"Hatamu" ni kamba inayonyoosha farasi naona hatamu alimaanisha jeshi, magereza, Polisi , bunge mahakama nk

Swali Je "Farasi" wanaoonyooshwa na kamba (hatamu) ambazo chama (yeye) kimeshika ni nani?

Je yeye ndo chama akiwa amepanda farasi (raia) anawanyoosha kwa kuvuta kamba (hatamu)

Je "Farasi" ni nani?? aliomaanisha wanaonyooshwa na hatamu zilizoshikwa na chama?

je aliwaona raia wake kama farasi?

its true baba yetu alikuwa dikteta maana hakukubali kupingwa na mtu akidhani yeye pekee ndo alikuwa na akili kumbe uwongo!

moja ya sababu za umaskini uliopo leo Tanzania ni sababu ya siasa ya ujamaa ambayo aliitekeleza kwa mhemko bila kuifahamu kiundani!!

Ukisoma kule uzunguni somo linaitwa "Development Classics" unaelezwa kimfumo nchi hutakiwa kuanzia Capitalism na kuwa tajiri kisha ndo inaingia ujamaa then ujima, yeye Nyerere akaruka stage akaanzia katikati Socialism yake akimuiga Lenin huyo akatumbukia shimoni!!
 
Kuna watu mmevurugwa ...yaani unalinganisha Nyerere na Magufuli, Seriously!
 
Hii kufuru jamani unamlinganisha shetani mkuu Lucifer na mtu aliye kwenye mchakato wa kutangazwa mtakatifu? Ukatubu dhambi hii ya mauti
 
Nenda kamjengee wewe huko kijijini kwenu, sanamu la udongo wa kichuguu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ni uwongo wa mchana! UDINI hakuna
Mmeanza kumhalalisha shetani kwa kumlinganisha na mwenyeheri Nyerere!!! Lile shetani halisafishiki hata ukilificha kwapani mwa malaika ni shetani tu!
 
Umefafanua vyema.
 
Magufuli alinganishwe na wanyonge, wale aliowaambia wasije barabarani na mavi yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…