Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
- Thread starter
- #21
😂😂😂 kwamba wao wana kinga ya makelele usiku kucha?We mkurya unaenda kujenga mpiji kwa wazaramo we ndo umewafuata mkuu njoo huku madale kiwanja billion moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 kwamba wao wana kinga ya makelele usiku kucha?We mkurya unaenda kujenga mpiji kwa wazaramo we ndo umewafuata mkuu njoo huku madale kiwanja billion moja
Mkuu bwana, wamasai wahame ila hoteli hazina shida? Turudi kwenye mada, kuna wenye kinga na noise polution kwamba wakifanya wao ni sawa?Una takiwa wewe ndio uhame uko
Huna tofauti na Maasai walio fuata simba ngorongoro
Kwanini utese watu wakati unaweza fanya kwa kiasi kila mtu aishi kwa amani?Nyumba Yako weka alminium huyo hangaika na huo ujinga labda kama unaishi kwenye nyavu watakutesa kweli
Kipi kilianza kati ya sheria na huo utamaduni?Sheria zilizowekwa kuhusu kelele zinabagua watu? Kuna wengine hii haiwagusi wanaweza kufanya watakavyo?
Nchi hii raia wanajua uchafu ni wa matakataka tuuMkuu bwana, wamasai wahame ila hoteli hazina shida? Turudi kwenye mada, kuna wenye kinga na noise polution kwamba wakifanya wao ni sawa?
Kwani wamefanya shughuli kwenye uwanja wako tuanzie hapa kwanza?Kwanini utese watu wakati unaweza fanya kwa kiasi kila mtu aishi kwa amani?
Asante MkuuFika kwa Afisa Mazingira Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,wasilisha hii KERO yako hapo..
Ofc zipo hapo Magomeni karibu na ofc ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni..NEMC wamekaimisha baadhi ya mambo ya Mazingira kwa ngazi ya Halmashauri kupitia hao Maafisa Mazingira
OR fika ofisi ya Kata Mbweni, mtafute Afisa Afya Mazingira, atakuunganisha na huyo Afisa Mazingira wa Halmashauri
Asante
Kha, anayepiga makelele bila soundproof ni mpaka afanyie hayo kwenye uwanja wako ndio uathirike?Kwani wamefanya shughuli kwenye uwanja wako tuanzie hapa kwanza?
Huko ndiyo zao watu huko hawawezi kukuelewa huko kila siku shuguli,mara kigoma kesho kigodoro sijui kuna birthdayWakate mauno yao, kutupigia kelele usiku kucha na maspika ni kero kwa wengine
Jibu swali yupo kwenye eneo lakoKha, anayepiga makelele bila soundproof ni mpaka afanyie hayo kwenye uwanja wako ndio uathirike?
Wewe ndio umepeleka kero huko watu walikuwa na utamaduni wao na waliishi nao vizuri sasa umefika unaona kero
Dar Kote watu wanakesha, hakuna utakokoishi, alafu Utegemee ukimya usiku.Ntahama sehemu ngapi? Kwanini usishughulikiwe mzizi wa tatizo?
Mbweni ushuwani hakuna mambo haya...Kelele ni jadi yenu
Maspika hata kuuza karanga
Hakuna sheria