KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Fika kwa Afisa Mazingira Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,wasilisha hii KERO yako hapo..

Ofc zipo hapo Magomeni karibu na ofc ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni..NEMC wamekaimisha baadhi ya mambo ya Mazingira kwa ngazi ya Halmashauri kupitia hao Maafisa Mazingira

OR fika ofisi ya Kata Mbweni, mtafute Afisa Afya Mazingira, atakuunganisha na huyo Afisa Mazingira wa Halmashauri
Asante
 
Na ile mbweni mnayoisifu kwamba ni matajiri tupu wanaishi huko ni ipi
 
Ahsante kwa kushare,, location kama hizo ndo ninazo zitaka sasa, nifanye mpango wa kuhamia huko sasa 🤗
 
Fika kwa Afisa Mazingira Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,wasilisha hii KERO yako hapo..

Ofc zipo hapo Magomeni karibu na ofc ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni..NEMC wamekaimisha baadhi ya mambo ya Mazingira kwa ngazi ya Halmashauri kupitia hao Maafisa Mazingira

OR fika ofisi ya Kata Mbweni, mtafute Afisa Afya Mazingira, atakuunganisha na huyo Afisa Mazingira wa Halmashauri
Asante
Asante Mkuu
 
Wakate mauno yao, kutupigia kelele usiku kucha na maspika ni kero kwa wengine
Huko ndiyo zao watu huko hawawezi kukuelewa huko kila siku shuguli,mara kigoma kesho kigodoro sijui kuna birthday
Mara kibeseni mtoto katoka
Shuguli ndiyo kwaoo

Ova
 
Ntahama sehemu ngapi? Kwanini usishughulikiwe mzizi wa tatizo?
Dar Kote watu wanakesha, hakuna utakokoishi, alafu Utegemee ukimya usiku.
Kama hataki kusikia kilele, kuna namna mafundi ujenzi hufanya kuna vioo vizito hungwa madirishani, kuzuia kelele za nje.
 
Back
Top Bottom