Mbona Tazara walijenga?
Kwa hakika furaha yangu itakuwa kubwa mno iwapo bandari hii haitojengwa. Mambo mengine ni roho mbaya tu na si chochote.Ni lini Watanzania tutakuja kuelewa kwamba hakuna kitu cha bure? Yaani Mchina atoke kwao aje kukujengea wewe Bandari kwa lipi hasa?
Inanikimbusha Mji wa Kigamboni kwamba USA wanakuja kujenga Mji wa kisasa Kigamboni, USA wachukue fedha za walipa kodi wao wakujengee wewe Mji, kwa lipi haswa?
Ni lini tutaelewa kwa nchi inajengwa na wenye nchi?
Malizeni Bwawa la Nyerere > 2000 MW acheni kujidanganya.