clarewency
Member
- Sep 10, 2024
- 24
- 20
Wasipokuelewa hapa ndiyo basi tena wameshindikana.
Hakuna hata picha inayoonyesha Yanga waliingia uwanjani na jezi rasmi ya mechi halafu wapo huku mitandaoni wanabwabwaja wapewe pwenti 3 za buru
kuna shida kubwa sana ukiwa mshabiki maandazi wa hizi timu mkuu, hata kama jambo lipo wazi kabisa lkn halitaeleweka kabisa kw sbb ya ushabikiWasipokuelewa hapa ndiyo basi tena wameshindikana.
Hakuna hata picha inayoonyesha Yanga waliingia uwanjani na jezi rasmi ya mechi halafu wapo huku mitandaoni wanabwabwaja wapewe pwenti 3 za bure.
Wasipokuelewa hapa ndiyo basi tena wameshindikana.
Hakuna hata picha inayoonyesha Yanga waliingia uwanjani na jezi rasmi ya mechi halafu wapo huku mitandaoni wanabwabwaja wapewe pwenti 3 za bure.