Acha kukurupuka, mpira huu siyo wa makaratasi, una kanuni kasome uache mazoea.Nyie mnaosema simba hawans makosa,wamefanya maandalizi wiki nzima,meneja wa uwanja kuwakatalia wasiingie ndiyo sababu ya kukataa kucheza? Kwani uwanja hawaujui? Umebadilika? Azim dewji alishaanza kumlalamikia refa aliepangwa kwamba atawaonea,kwa kifupi simba walipanga kutokucheza mechi.