Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

Soma taarifa iliyotolewa na bosi ya ligi.
Ilitakiwa makolo watoe taarifa kwanza na sio kuvamia, sasa hamna taarifa yoyote ndio maana uwanja ukafungwa mpaka siku ya mechi.

Iko wazi kolo kakimbia mechi.
Bodi imeahirisha mechi .
Kama simba amekimbia basi TFF nao wamekimbia,marefa nao wamekimbia,na kamisaa wa mchezo pia amekimbia mechi
 
Mwaka 2021 mlisema hivihivi hatuchezi tena ila tarehe ilipangws upya na mlicheza
Saizi tunakaza Rais wetu ana dhamana nzito ACA kwahiyo TFF sio wakutulazimisha sisi labda serekali iingilie kati kama wanavyofanyaga
 
Bodi imeahirisha mechi .
Kama simba amekimbia basi TFF nao wamekimbia,marefa nao wamekimbia,na kamisaa wa mchezo pia amekimbia mechi
Wametumia "busara" kama wanavyojinasibu kila leo ila ni wazi kolo kakimbia kono la nyani.
 
Kaahindwa kuingia kwasababu wahusika wa uwanja hawakuwepo.
na wale wanaojiita makomandoo uchwara waliowazuia walitumwa na nani?punguza mapenzi.na usipotoshe maelezo.wahusika walikuja kilikiwa ni kitendo cha kusalimiana na kujua simba kafata nini pale na waruhusiww kuingia maana kanuni INAMBEBA MNYAMA
 
Kwenye video zinazosambaa hao mabaunsa umewaona??
Mzee ni ngumu kukubali ni kweli simba kakimbia game nu dhahir kabisa hiyo.

Yaani mazoezi ya kabla ya mechi ndio yafanye ushindwe kucheza mechi??
Na mpaka huyo meneja wa uwanja kutokua na taarifa ni trend ya hivyo vilabu kutotumia uwanja siku moja kabla ya mechi, kila moja kutokea inakojua yenyewe.

Kama kusingekua na umuhimu wa taarifa basi bodi ya ligi wasingeandika hilo kwenye taarifa yao.

Ni vile zote ni timu kubwa la sivyo mmoja au wote wangepigwa rungu, mpaka sasa hakuna litalotokea zaidi ya mechi kurudiwa.
 
Sijajua mnafanya makusudi na kujitoa akili au lah.

Ni kweli kanuni inasema hivyo ila haisemi msusie game. 😀😀

Wewe ndiyo unakurupuka bila kuzisoma kanuni kwa kina. Soma kanuni ya 31 inatoa mwanya wa timu kugomea mchezo ikiwa kuna sababu inayokubalika kikanuni.
 
Simba wamekimbia mechi kwasababu ya kuogopa kfungwa maana kungekuwa na madhar makubwa sana kwa simba kuluzi hiyo gemu.

Kwa simba kunyang'anywa point mezani ni bora zaidi kuliko kulozi mara tano mfululizo, uongozi wa simba ungekuwa ktk hali mbayo sana. Kongole uongozi wa simba mmetumia akili kubwa kukimbia game
Hakuna kanuni ya kuwapokonya simba point 3 ktk mazingira haya.
 
Kwenye video zinazosambaa hao mabaunsa umewaona??
Mzee ni ngumu kukubali ni kweli simba kakimbia game nu dhahir kabisa hiyo.

Yaani mazoezi ya kabla ya mechi ndio yafanye ushindwe kucheza mechi??
Na mpaka huyo meneja wa uwanja kutokua na taarifa ni trend ya hivyo vilabu kutotumia uwanja siku moja kabla ya mechi, kila moja kutokea inakojua yenyewe.

Kama kusingekua na umuhimu wa taarifa basi bodi ya ligi wasingeandika hilo kwenye taarifa yao.

Ni vile zote ni timu kubwa la sivyo mmoja au wote wangepigwa rungu, mpaka sasa hakuna litalotokea zaidi ya mechi kurudiwa.
kwani mazoezi kabla ya mechi wamepanga simba au kanuni za bodi ya ligi?.sasa kwanini useme sio sababu ya timu kususia mechi?.kwani mlipogoma nyie siku ile mlitumia kanuni gani kugoma?
 
Timu isipofanya mazoezi mchezo inahairishwa? Iwapo Meneja wa uwanja angeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme nako ingepelekea mchezo kuhairishwa? Iwapo mvua ingenyesha na kupelekea mazoezi kutofanyika nako mechi ingehairishwa? Iwapo foleni ya magari ingekuwa kubwa na kupelea timu ya Simba kufika uwanjani kwa wakati nako ingesababisha mechi kuhairishwa?

Bodi ya Ligi wameshindwa kuwalinda wapenzi wa soka, wao wameegemea kwenye ushabiki bila kuangalia logic.
Yaani upelelezi haujakamilika tayari wameshafikia hitimisho.
Soma kanuni ya 17 (45), 23 na 31 uelewe. Kama mlizoea mazoea ya blaablaa sasa fuateni kanuni. Yanga walifanya maksudi wakijua simba ataondoka na watacheza ili baadae wao walipe faini ya 5ml kama ambavyo mechi zote za derby wameadhibiwa kwa kukiuka kanuni maksudi hasa kuhusiana na ushirikina. Simba sasa ameona asimamie kanuni vilivyo.
Timu isipofanya mazoezi mchezo inahairishwa? Iwapo Meneja wa uwanja angeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme nako ingepelekea mchezo kuhairishwa? Iwapo mvua ingenyesha na kupelekea mazoezi kutofanyika nako mechi ingehairishwa? Iwapo foleni ya magari ingekuwa kubwa na kupelea timu ya Simba kufika uwanjani kwa wakati nako ingesababisha mechi kuhairishwa?

Bodi ya Ligi wameshindwa kuwalinda wapenzi wa soka, wao wameegemea kwenye ushabiki bila kuangalia logic.
Yaani upelelezi haujakamilika tayari wameshafikia hitimisho.
 
kanuni inasema timu pinzani itafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwe nye uwanja husika.mlikuwa hamjui hii kanuni?
mnataka mpewe taarifa ili mfiche nini!
Mkuu tunaombaa utupe na kanuni inayosema ukinyimwa kufanya mazoezi uwanjan kabla ya mechi ugomee mechi ili twende sawa.
 
kabla sijakupa hyo kanuni.kwanza nipe kanuni mliyotumia siku ile ambayo mligoma kucheza BODI YA ligi na tff walipo peleka muda wa mechi mbele kutoka saa 11 mpaka saa 1.
 
Wametumia "busara" kama wanavyojinasibu kila leo ila ni wazi kolo kakimbia kono la nyani.
Kama ungekuwa na ubavu wa kumfunga kwa nini ulileta kipengele ch kufunga mlango ili asifanye mazoezi kama kanuni inavyotaka!
 
Kwenye video zinazosambaa hao mabaunsa umewaona??
Mzee ni ngumu kukubali ni kweli simba kakimbia game nu dhahir kabisa hiyo.

Yaani mazoezi ya kabla ya mechi ndio yafanye ushindwe kucheza mechi??
Na mpaka huyo meneja wa uwanja kutokua na taarifa ni trend ya hivyo vilabu kutotumia uwanja siku moja kabla ya mechi, kila moja kutokea inakojua yenyewe.

Kama kusingekua na umuhimu wa taarifa basi bodi ya ligi wasingeandika hilo kwenye taarifa yao.

Ni vile zote ni timu kubwa la sivyo mmoja au wote wangepigwa rungu, mpaka sasa hakuna litalotokea zaidi ya mechi kurudiwa.
Ameandika kujitetea tu hakuna kanuni rasmi ya utoaji taarifa hata pale alipopigiwa simu kuwa simba wapo getini na kwamba ni ndani ya muda wa kikanuni alipaswa kuruhusu waingie. Suala hili likiisha huyo naye kibarua chake kwisha.
 
Back
Top Bottom