Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Soma taarifa iliyotolewa na bosi ya ligi.Yanga hawashiki funguo jana wameingiaje uwanjani?
Na mechi ilitangazwa imeghairishwa?Au mlivunja mAgeti kama ulivyo utaratibu wenu?
Ilitakiwa makolo watoe taarifa kwanza na sio kuvamia, sasa hamna taarifa yoyote ndio maana uwanja ukafungwa mpaka siku ya mechi.
Iko wazi kolo kakimbia mechi.