Watangazaji nguli hawapo tena yaani!Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini. Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.
Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
Kuna mtu kama Zembwela kama atakomaliwa kweli basi itambidi ajikite kwenye uigizaji. Hawezi kuwa na spirit ya kutafuta course work DSJWatangazaji nguli hawapo tena yaani!
Taaluma iliingiliwa sana. Ukiwa maarufu tu, unapewa kipindiMpiga kelele mmojawapo anayeniboa ni Kitenge, jamaa muda wote ni kuropoka tuu afu pointless
Nchi inapenda ujinga. Sasa hivi hata vipindi vya mijadala ya kiuchumi na siasa hakuna. Ni umbea, ushoga, michezo full stopNi sawa tu hapa kwenye jukwaa, Mada za hovyo hovyo zimejazwa na jamii ya watu kama akina juma lokole.
Sasa Media zitaanza kuongozwa KISOMI wanajazajaza wabwatukaji redioni jitu linabwatuka tu kwani umesikia hatukusikiii Mzee vipi?Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.
Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.
Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
ilikuwa aibu sanaTaaluma iliingiliwa sana. Ukiwa maarufu tu, unapewa kipindi
Basi nitaanza kuwasikiliza tena, maana usomaji wao wa magazeti plus uchawa ulinifanya nijipe likizo ya kusikiliza redio. Hasa nilipogundua ni watu mapoyoyo.Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.
Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.
Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
Kwa watu ambao walihitaji userious, waliacha kusikiliza redioWalichangamsha sana game lakini
Kipindi cha Dp World ndio walikuwa madalali wakuuBasi nitaanza kuwasikiliza tena, maana usomaji wao wa magazeti plus uchawa ulinifanya nijipe likizo ya kusikiliza redio. Hasa nilipogundua ni watu mapoyoyo.
Mimi nilikuwa nawalaumu sana, wanisamehe tu kwa kweli. Kumbe hawakuingia darasani. Kila taaluma ina miiko yake. Isingekuwa rahisi kwao kuijua na ukizingatia wameajiriwa kwaajili ya umaarufu na sauti zaoProfession ina heshima yake bana. Yaani mtu aliyeingia darasani tofauti kabisa na ambaye hajaingia. Tukubali tukatae huo ndio ukweli
Niliacha kuwasikiliza juzi kati walipoanza kuzungumza eti magereza ni taasisi inayojitegemea haiwezi kusikiliza na kutekeleza amri ya mahakama. Nikajua hapa wapo maponjoro tu hamna kitu.Kipindi cha Dp World ndio walikuwa madalali wakuu
Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.
Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee