dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,755
- 2,740
Vipindi vilikua vinamilikiwa na watangazaji au na Vituo husika?We ni mpuuzi na huijui taaluma ya habari na utangazaji. Hii dhana ya kudhani kuwa msomi ndio utafanya kazi kwa weledi na ubunifu mnaitoa wapi? Ungesikitika kwa kuondolewa magwiji hao wa utangazaji ungeonekana wa maana. Watu walibuni vipindi murua mpaka vikawa vinafuatiliwa na watu wengi wameondoka huku majina ya vipindi waliovianzisha yakitumika bila kubadilishwa na maudhui yake nayo yabadilishwe. Ingekuwa nchi zilizoendelea hao watangazaji wangedai fidia kwa kile walichokianzisha na kuki brand wanaondoka huku vipindi vyao vikitangazwa na wengine. Hawa wanaonekana wana sifa na ithibati nao wanzishe na kubuni vipindi vyao tena wasiige maudhui tuone tofauti na ubora wao, shame on you
Kwanini hao watangazaji wanaogopa sana shule?
Tangu mwaka 2016 ni miaka 9 imepita wakiambiwa wasio na sifa za kielimu wasome wengine wakasoma wengine wametulia tuli wakiona serikali inafanya mzaha.
Mtu kama Shigongo ametoka Lasaba mpaka Bachelor katika kipindi hicho wakati wengine wakiona haina haja sasa utekelezaji unapoanza wa kanuni na sheria husika kuna wakumlaumu na umepewa kujiandaa kwa miaka 9?