Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,107
Sasa walikuwa wanategemea kazi hiyo kwa maisha yao kwanini hawakuweza kujiendeleza kielemu na kusomea fani hizo hata kwa ngazi ya diploma tu..?
Wameondoa vijiwe vya wapiga kelele,machawa,wafitini wasengenyaji .......nk serekali ilichelewa sanaLeo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.
Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.
Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
Shida nini brother kitenge ? Ithibati imekukosea sana kakaWe ni mpuuzi na huijui taaluma ya habari na utangazaji. Hii dhana ya kudhani kuwa msomi ndio utafanya kazi kwa weledi na ubunifu mnaitoa wapi? Ungesikitika kwa kuondolewa magwiji hao wa utangazaji ungeonekana wa maana. Watu walibuni vipindi murua mpaka vikawa vinafuatiliwa na watu wengi wameondoka huku majina ya vipindi waliovianzisha yakitumika bila kubadilishwa na maudhui yake nayo yabadilishwe. Ingekuwa nchi zilizoendelea hao watangazaji wangedai fidia kwa kile walichokianzisha na kuki brand wanaondoka huku vipindi vyao vikitangazwa na wengine. Hawa wanaonekana wana sifa na ithibati nao wanzishe na kubuni vipindi vyao tena wasiige maudhui tuone tofauti na ubora wao, shame on you
Kuna watu hawana vigezo hata vya kusoma certificate tu. Zile D4 hawana. Ni darasa la 7 tu. Wanatakiwa waanzie veta au Open university kufanya foundation course. Kwasababu ya umaarufu wao waliona aibuSasa walikuwa wanategemea kazi hiyo kwa maisha yao kwanini hawakuweza kujiendeleza kielemu na kusomea fani hizo hata kwa ngazi ya diploma tu..?
Wewe ni Zembwela nini?? Mwandishi wa habari sio kipaji, ni taaluma.We ni mpuuzi na huijui taaluma ya habari na utangazaji. Hii dhana ya kudhani kuwa msomi ndio utafanya kazi kwa weledi na ubunifu mnaitoa wapi? Ungesikitika kwa kuondolewa magwiji hao wa utangazaji ungeonekana wa maana. Watu walibuni vipindi murua mpaka vikawa vinafuatiliwa na watu wengi wameondoka huku majina ya vipindi waliovianzisha yakitumika bila kubadilishwa na maudhui yake nayo yabadilishwe. Ingekuwa nchi zilizoendelea hao watangazaji wangedai fidia kwa kile walichokianzisha na kuki brand wanaondoka huku vipindi vyao vikitangazwa na wengine. Hawa wanaonekana wana sifa na ithibati nao wanzishe na kubuni vipindi vyao tena wasiige maudhui tuone tofauti na ubora wao, shame on you
Hata shuleni, noise makers mara zone ni wale vilazaKelele na elimu havikai pamoja 🤣
Ni kweli kabisa
Tunasubiri tuone hao wasomi wataleta mapinduzi gani.Sasa Media zitaanza kuongozwa KISOMI wanajazajaza wabwatukaji redioni jitu linabwatuka tu kwani umesikia hatukusikiii Mzee vipi?
Ujanja ujanja tu.muachage ujinga, wale wanastahili kutunukiwa hizo sifa kama hawana, fikirieni waliwezaje kufanya kazi huku hawana sifa hizo? Shame on you
😂😂😂😂huu mfano umemaliza kila kitu.Kenya ilitokea kesi ya kijana kujifanya mwanasheria akashinda kesi kadhaa. Na huyu atunukiwe uanasheria?
Kuna vijana walikamatwa Mloganzila na Mhimbili wakijifanya madaktari. Na hawa watunukiwe udaktari?
Kuna vijana walikamatwa hapa Tz wakijifanya wanajeshi. Watunukiwe uanajeshi?
Juzi waziri akiwa Njombe akakutana na kijana aliyejitambulisha kama mhandisi na mkurugenzi wa kampuni ya ujenzi. Ikagundulika siyo ila ni supervisor wa kampuni. Atunukiwe uhandisi na ukurugenzi?
Zembwela na wenzake walijifanya waandishi wa habari. Hawa ndiyo watunukiwe uandishi au siyo?
Mbona watu wengi wanatumia mafundi Maiko kujenga maghorofa na serikali ikigundua huwa inasimamisha ujenzi na wakati mwingine faini zinahusika pia.Tujiulize Watanzania wanataka kusikia nini, angalia hata serch history zao mitandaoni ni umbeya na xxx, Sasa hivyo vipindi serious watasikiliza?
Ndoto za alinachaSasa Media zitaanza kuongozwa KISOMI wanajazajaza wabwatukaji redioni jitu linabwatuka tu kwani umesikia hatukusikiii Mzee vipi?
Elimu inayozungumzwa hapo sio ya biology na chemistry. Ni uandishi wa habari. Wakajue miiko ya fani husika.Tunasubiri tuone hao wasomi wataleta mapinduzi gani.
Kila kitu kina ubunifu ndipo plus elimu kinamature, mfano dunia yote muwe wote mmesoma nasema wote haya nini kinafuata?.
Yaani tuseme ukweli lazima kuwe na pande mbili, ndiyo maana Almasi hajasoma na kapindua meza na akaajili wasomi.
Huo ndiyo upande wa pili sasa.
Nimekuja Mkuu,
Sasa kama hajasomea huyu si anajiingiza kwenye taaluma au uandishi wa habari ni jalalaunachanganya mambo mjuba, angalia mukhtadha. Kina zembwela hawakujifanya ni waandishi, ilitokea tu wakawa wanaimudu kazi hiyo kutokana na kuwa ndani ya media. Usilinganishe na udaktari na unesi au kazi yoyote ile mtu hawezi kufanya kama hana code zake. Kama media waliwaamini na kuwapa kazi basi waliona wanamudu kufanya kazi hiyo, achana na matapeli wanaojiingiza kwenye taaluma
kule hawapasui moyo na mifupa mjuba, hata mimi hapa ni mwandishi na sina degree ujueSasa kama hajasomea huyu si anajiingiza kwenye taaluma au uandishi wa habari ni jalala