Kelvin John (Mbape) alimkosea nini coach Adel Amrouch?

Carrier? 😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Inasemekana kocha wa timu ya taifa pia ni wakala wa wachezaji..wana kampuni (agency) sasa dogo alimtamani siku nyingi na kumshawishi amuibe..dogo kakaza..! Kwahayo hili la nidhamu ni kisingizio tu..
 
Inasemekana kocha wa timu ya taifa pia ni wakala wa wachezaji..wana kampuni (agency) sasa dogo alimtamani siku nyingi na kumshawishi amuibe..dogo kakaza..! Kwahayo hili la nidhamu ni kisingizio tu..
INASEMEKANA!! yaani unatuletea mambo ya kusadikika
 
Mchezaji mzuri ila amejiharbia kwenye management ya wachezaji hutakiwi kua lele mama haiwezekani mchezaji aingize vimada hoteli ya team umchekee next time wote wataingiza wanawake wawatie kabla ya mechi

Phil foden na mwenzake waliondolewa kambini England kwa kwenda kujirusha

warda wa misri hajaitwaga tena national team baada ya kuonekana aki pulika camp hotelini

Shida wabongo ni nongwa tu hatufatiliagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…