ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #21
Nimehakiki kweli yupo team BHachezi first eleven ya genk. Kelvin john yupo team B
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimehakiki kweli yupo team BHachezi first eleven ya genk. Kelvin john yupo team B
Wengi sanaKelvin John anamzidi nani?
Carrier? 😳😳😳😳😳😳😳😳😳Coach wa Taifa stars hajamujuisha mshambuliaji hatari wa Tanzania anayecheza KRC Genk ya Belgium
Coach huyo alipoulizwa ameapa hatomuita tena kuchezea team ya Taifa kwa utovu wa nidhamu aliounesha
Mimi najiuliza utovu wa nidhamu gani huo ambao hausameheki
Kelvin John ni kijana mdogo bila shaka kukosea kupo kwa vijana na coach inatakiwa aweze kumuongoza na kulinda carrier yake
Namsihi coach amuite ni kijana mwenye kipaji kikubwa mno tunamhitaji kama taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utovu upi? Si uutaje? Ronaldinho alipotuhumiwa juu ya utovu wake wa nidhamu tulielezwa ni mtoro wa kambini, mlevi na hashiriki mazoezi, analala maklaabu.
Kelvin ni mtovu wa nidhamu na hana adabu dhidi ya mabosi wake sijui bangi??Hivi mchezaji anaecheza first eleven ya KRC Genk inayocheza league kuu ya Belgium utamwacha umchukue Kibu Denis
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mleviUtovu upi? Si uutaje? Ronaldinho alipotuhumiwa juu ya utovu wake wa nidhamu tulielezwa ni mtoro wa kambini, mlevi na hashiriki mazoezi, analala maklaabu.
KonyoCarrier? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kalewa wapi? Kalewa nini? Sifa?Ni mlevi
INASEMEKANA!! yaani unatuletea mambo ya kusadikikaInasemekana kocha wa timu ya taifa pia ni wakala wa wachezaji..wana kampuni (agency) sasa dogo alimtamani siku nyingi na kumshawishi amuibe..dogo kakaza..! Kwahayo hili la nidhamu ni kisingizio tu..
Kelvin huko alipo kashushwa hadi timu B,Utovu upi? Si uutaje? Ronaldinho alipotuhumiwa juu ya utovu wake wa nidhamu tulielezwa ni mtoro wa kambini, mlevi na hashiriki mazoezi, analala maklaabu.
Kwanza unamuitaje Sopu unamuacha Mzize
Tatizo kuitwa Mbappe akajiona Mbappe kweli.Kaka Kelvin John karudishwa team B.
Tujuze utovu wake wa nidhamu ni upi!??Kama huna nidhamu ucheze ili iweje?
Ulevi wa K sio pombeKalewa wapi? Kalewa nini? Sifa?
hachezi first eleven kwa sasaHivi mchezaji anaecheza first eleven ya KRC Genk inayocheza league kuu ya Belgium utamwacha umchukue Kibu Denis
Sent using Jamii Forums mobile app