C'mon that shit was light just like pwc.
It was weak just like Somalian kids,
Hakuna real shot hata moja yenye uzito humo.
Amepondea Mr. Morale na TPAB
Lakini hizo album ni certified classics.
TPAB ni musically best rap album ever waulize watu wa jazz...na Mr. Morale will age like fine wine kuliko ata Goodkid mad city aliyoadmit ni classic.
Then yeye anadiss Album za K.dot wakati hana hata album moja inayozikaribia hata kwa mbaaaali.
Amejitetea kusema it is just a warning.
Tangu lini diss zikawa na trailer?
I'm a Jcole fan, I was in the Jcole bandwagon lakini kwa hii 7minute drill amezingua..Sanasana amempa point 3 Kendrick Lamar.
Kungfu Kenny akimjibu atamuulia career yake. So I think ni busara K.dot aspomjibu maana ni marafiki wale.