Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
- Thread starter
- #41
Hajui na hajawahiYeye mwenyewe kuandika hajui ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui na hajawahiYeye mwenyewe kuandika hajui ?
Alisha mdiss Kendrick jukwaani, Kuna show Ali panda aka tema maneno.Hah Ghost writers wake watakua busy Sana siku mbili hizi
Ndo amesha disiwa hivyo, Hata Eminem amesema katika doomsday part 2 j Cole ni kiumbe kingine.JCole kaanza kuomba msamaha, Katika top 3 hakuna anyeweza kumdiss Kendrick akabaki salama
JCole kwa kendrick upande wa diss track haingii hata nusu, ila ki music career wise anaweza kuwa bora zaidi ya Kendrick lamar.Ndo amesha disiwa hivyo, Hata Eminem amesema katika doomsday part 2 j Cole ni kiumbe kingine.
K dot kaumia Baada ya kuona drake kapewa collabo badala yake.JCole kwa kendrick upande wa diss track haingii hata nusu, ila ki music career wise anaweza kuwa bora zaidi ya Kendrick lamar.
Sidhani, alikua anachangamsha game tuK dot kaumia Baada ya kuona drake kapewa collabo badala yake.
Ali tamani joint album toka mda mrefu, sema Ali izungumzia ili kuongeza mauzo kwenye ngoma zake.Sidhani, alikua anachangamsha game tu
Hivi the slaughter house bado ipo??K dot kaumia Baada ya kuona drake kapewa collabo badala yake.
Nope, labda baadaeHivi the slaughter house bado ipo??
Eminem ndo rapper wangu Bora wa mda wote.Kendrick Lamar, Cole. Nisimpomsikiliza Eminem, mara nyingi huwa nawasikiliza hawa wawili. Ila Kendrick ni moto aisee, nadhani hata Cole analijua hili, japo kama mtoto wa kiume hawezi kubali unyonge, kujitutumua muhimu!
Kendrick Lamar, Cole. Nisimpomsikiliza Eminem, mara nyingi huwa nawasikiliza hawa wawili. Ila Kendrick ni moto aisee, nadhani hata Cole analijua hili, japo kama mtoto wa kiume hawezi kubali unyonge, kujitutumua muhimu!
Kuna Eminem na the Slim ShadyEminem ndo rapper wangu Bora wa mda wote.
Kuna like toy soldier, not afraid, monster, love the way you lie.
Hizi collaboration, Kawa poteza wote humo.
drop the world Yuko na Wayne, no love Yuko na Wayne.
renegade Yuko na jay z
Eminem ni MBUZI halisi, achana na Young Lunya aliyejipachika jina kimakosa!Eminem ndo rapper wangu Bora wa mda wote.
Kuna like toy soldier, not afraid, monster, love the way you lie.
Hizi collaboration, Kawa poteza wote humo.
drop the world Yuko na Wayne, no love Yuko na Wayne.
renegade Yuko na jay z
Za zamani hunipendi??maana ume mention mpya,sijaona Lose yourself,, Cleaning my Closet, guilty conscience and soEminem ndo rapper wangu Bora wa mda wote.
Kuna like toy soldier, not afraid, monster, love the way you lie.
Hizi collaboration, Kawa poteza wote humo.
drop the world Yuko na Wayne, no love Yuko na Wayne.
renegade Yuko na jay z
Bila kumsahau marshal Mathers😀, album yake mpya iko tayari.
Nazi kubali mbona, na hata diss track zake ni 🔥🔥🔥.Za zamani hunipendi??maana ume mention mpya,sijaona Lose yourself,, Cleaning my Closet, guilty conscience and so
Slim Shady!!!
Jana nilivyokuuliza kuhusu kurudi kwa kundi la Eminem (Slaughter house),nikakumbuka ngoma zao nikaingia sportfy nimelala saa Tisa,Nita share hapa playlist zao,Ila yella wolf ni kwereBila kumsahau marshal Mathers😀, album yake mpya iko tayari.
Ime tengenezwa na Dr dre.
The Warning,Kuna Benzino wa the SAUCESlim Shady!!!
Mariah Carey anamjua vizuri sana huyo mwehu!
Doomsday part 2 Ume isikiliza??, benzino kadisiwa tena.The Warning,Kuna Benzino wa the SAUCE