Kendrick Lamar (Kidoti) Alijichanganya Kumdiss J Cole. 7 minutes Drill Bodied Kendrick

Kwangu mimi Album za Kendrick ambazo ni bora zaidi ni To Pimp a Butterfly na Section 8, hizi zingine huwa naona za kawaida tu.
 
Obvious drake atarudi hatomlazia damu Kama alivyofanya kwa Meek Mill
Kidonda cha Pusha T babdo hakijapona, kilimuweka pabaya kwenye ulimwengu wa diss track, itaendelea kutumika kama reference kwa kila atakaye mdiss. Ni kama Ether ya Nas kwa Jay Z
 
Kidonda cha Pusha T babdo hakijapona, kilimuweka pabaya kwenye ulimwengu wa diss track, itaendelea kutumika kama reference kwa kila atakaye mdiss. Ni kama Ether ya Nas kwa Jay Z
Ether umenikumbusha mbali na the Takeover...kwani drake hakuwahi kumjibu Pusha T? without Pusha t Adonis wouldn't come out
 
Kwangu mimi Album za Kendrick ambazo ni bora zaidi ni To Pimp a Butterfly na Section 8, hizi zingine huwa naona za kawaida tu.
Hii ni unpopular opinion.
Kila mtu na mama ake (akiwemo Jcole) anakubali album best ya Kendrick Lamar ni Good kid MAAD city
 
Kendrick anasubiria wajibu wote wawili ili arushe jiwe moja kujua ndege wawili.
Kitu ambacho hata akishindwa bdo ataonekana tu mshindi maana anapambana na watu wawili
Hii itakua sio ya kwanza kutokea,NWA walimdiss Ice Cube,peke yake akatoa NO VASELINE
 
Napendaga sana bifu za mziki zikiwekwa kwenye rhymes sio ujinga wa kupigana risasi. Kwenye hii kesi niko na J Cole
 
"Nina mistari mingi kuzidi Old testament "

Mimi Sina shaka na uwezo wa Kendrick , hata Jermaine Cole mwenyewe anajua ni jinsi gani Kendrick alivyo mnyama.

Huyo Drake Hana uwezo wowote wa kubattle na Kendrick,zaidi sana atajisifu umaarufu na kumzidi pesa kama kawaida yake.

Kendrick ni genius.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…