ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Wasalaam wanajukwaa, ningependa kufahamishwa ni kwa namna gani Kenge anavyoweza kumdhuru Binadamu, namna ya kumuepuka kama kuna yoyote anafahamu njia za kukabiliana na viumbe hawa kama tulivyosikia jinsi ya kukabiliana na nyoka kwa kumwaga mafuta na njia zinginezo.
Nahitaji msaada wenu wana jukwaa maana huku makao mapya hawa viumbe wametapakaa kila kona kwhy ningependa kufahamishwa hayo ili kuishi salama na familia.
Nawasilisha kwa msaada wa haraka
Nahitaji msaada wenu wana jukwaa maana huku makao mapya hawa viumbe wametapakaa kila kona kwhy ningependa kufahamishwa hayo ili kuishi salama na familia.
Nawasilisha kwa msaada wa haraka