Kenge ana madhara gani kwa Binadamu?

Kenge ana madhara gani kwa Binadamu?

ministrant

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
754
Reaction score
1,478
Wasalaam wanajukwaa, ningependa kufahamishwa ni kwa namna gani Kenge anavyoweza kumdhuru Binadamu, namna ya kumuepuka kama kuna yoyote anafahamu njia za kukabiliana na viumbe hawa kama tulivyosikia jinsi ya kukabiliana na nyoka kwa kumwaga mafuta na njia zinginezo.

Nahitaji msaada wenu wana jukwaa maana huku makao mapya hawa viumbe wametapakaa kila kona kwhy ningependa kufahamishwa hayo ili kuishi salama na familia.

Nawasilisha kwa msaada wa haraka
 
Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).

Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,

USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
 
Duu ubongo!? Sijui kama kuna kitu kimehifadhiwa vizuri kama ubongo
Huo ulimi unapitia wapi?
 
Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
Hii ni chai kama chai zingine.
 
Anasababisha maumivu akikuchapa na mkia wake mengine sjui wadau wataongezea
 
Story za utoton hzi
Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).

Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,

USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
 
Kenge ni kati ya viumbe waoga kwa binadamu hawana madhara yoyote,,nakumbuka zamani tuliogopeshwa ukilala usingizi karibu na mto eti kenge atakuja kuingiza ndimi zake puani na kunyonya ubongo ,,kwani ubongo unakaa puani? Uongo mtupu,,Ninachojua kenge ni wala mayai wazuri kama unafuga kuku watayala usipoyatunza vizuri.
 
Hii story haina ukweli wowote

Hili la kula mayai ndiyo muanzisha uzi alizingatie,
Kenge wanakula mayai balaa.
 
Back
Top Bottom