ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
Duu ubongo!? Sijui kama kuna kitu kimehifadhiwa vizuri kama ubongoKenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
Hii ni chai kama chai zingine.Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
Chai mkuuHii ya kunyonya ubongo huwa ina ukweli wowote?
Unforgetable
Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
Hii ni chai kama chai zingine.
Swali linakuja hivi, alishakuchapa na mkia?Anasababisha maumivu akikuchapa na mkia wake mengine sjui wadau wataongezea
Jaribu kujirengesha kwake siku moja mkuu, kumbuka kutovaa viatu wakati wa hilo zoezi matokeo utayapataSwali linakuja hivi, alishakuchapa na mkia?
Au hata wewe umeambiwa kama aliyekwambia na yeye alivyoambiwa.
Acha ujuaji dogoJaribu kujirengesha kwake siku moja mkuu, kumbuka kutovaa viatu wakati wa hilo zoezi matokeo utayapata
Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
Hili la kula mayai ndiyo muanzisha uzi alizingatie,Kenge ni kati ya viumbe waoga kwa binadamu hawana madhara yoyote,,nakumbuka zamani tuliogopeshwa ukilala usingizi karibu na mto eti kenge atakuja kuingiza ndimi zake puani na kunyonya ubongo ,,kwani ubongo unakaa puani? Uongo mtupu,,Ninachojua kenge ni wala mayai wazuri kama unafuga kuku watayala usipoyatunza vizuri.