Kenge ana madhara gani kwa Binadamu?

Ubongo 😳
 
dahh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.
 
hahaha
 
Hii chai haijakolea viungo nimeshaionja
 
Kuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.
Akiwa hana ubongo 'akaenda' hospital
Tuna madokta humu waje watusaidie naona kizunguzungu tu
 
Hilo la kunyonya ubongo ndo nimelisikia leo.

Binafsi nilifungwa kamba kuwa wananyonya damu puani kitu ambacho kina make sense somehow

Nimeishi kando ya ziwa Victoria (-100 M) kenge walikuwa wengi lakini sikuwahi kuona wala kusikia wamempiga ngwara mtu na kunyonya chochote.
 
Maeneo nilipokuwa mdogo kuliwa na ufugaji wa kuku ila ni porini sana na kenge walikuwa wanatusumbua sana kuja kula mayai.

Hatari Yake
Mkia wake ndio silaha yake ya kujilinda ana nguvu sana kwenye ule mkia akikupiga Miguu anaweza akakuumiza vibaya sana japo ni kiumbe kioga sana.
 
Mcheki mchawi wa wachawi MSHANA anaweza kuwa na solution yule jamaa..[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Niliwahi sikia eti akimkuta mtoto kalala au mtu mzima akifanikiwa kuingiza ulimi wake puani kwako eti ananyonya ubongo wako wote hadi unakufa..
Na kingine inasemekana eti akikutandika na ule mkia wake ukaumia hicho kidonda wanasema hakiponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…