Ally Lipende
Member
- Dec 27, 2017
- 90
- 61
Ubongo 😳Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako