Hahaha hahaha!Kuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.
Kuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.
Mjusi kafiri hawa weupe wa ndani ni Hatari sana kuliko Kenge.
Sidhani kama Kenge anadhuru Mtu.
Hilo la kunyonya ubongo ndo nimelisikia leo.
Binafsi nilifungwa kamba kuwa wananyonya damu puani kitu ambacho kina make sense somehow
Nimeishi kando ya ziwa Victoria (-100 M) kenge walikuwa wengi lakini sikuwahi kuona wala kusikia wamempiga ngwara mtu na kunyonya chochote.
Maeneo nilipokuwa mdogo kuliwa na ufugaji wa kuku ila ni porini sana na kenge walikuwa wanatusumbua sana kuja kula mayai.
Hatari Yake
Mkia wake ndio silaha yake ya kujilinda ana nguvu sana kwenye ule mkia akikupiga Miguu anaweza akakuumiza vibaya sana japo ni kiumbe kioga sana.
Mcheki mchawi wa wachawi MSHANA anaweza kuwa na solution yule jamaa..[emoji16][emoji16][emoji16]
Wana hatari gani mkuu ? Mimi tokea nazaliwa mpaka nazeeka nipo nao ndaniMjusi kafiri hawa weupe wa ndani ni Hatari sana kuliko Kenge.
Sidhani kama Kenge anadhuru Mtu.
Wana hatari gani mkuu ? Mimi tokea nazaliwa mpaka nazeeka nipo nao ndani
Mimi mwenyewe tangu nikiwa mdogo nilikuwa nawapenda sana hasa wanavyokamata wadudu juu ya Dari na nilikuwa nawalenga na raba bendi.Mbona tunatishana?sasa kama ni hatari tunaokaa nje ya Mji so Mijusi wamejaa.Je.wanafanyaje unaposema.ni hatari?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana madhara huyo mnyama hana tofauti na shoga
Hii sio chai tena Bali ni gahawa
Ww nmeogopa kinoma....Kenge ana madhara makubwa yanayopelekea kifo kama usipowai matibabu, anatumia mkia wake ambao una nguvu anaweza kuangusha mtoto (inategemea na ukubwa wa kenge).
Ukishaanguka anatumia ndimi zake ndefu mbili kuingiza puani anachokutana nacho, anakunyonya kamasi zote hadi ubongo,
USHAURI:Kuepukana nao na wasiweke makazi kwako, nakushauri fuga mbwa na paka nyumbani kwako
Hii ni chai ya mu AloeveraKuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.