moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Bro kenge ni kenge tu, ingawa anakula nyoka na hasa wale wakali kama Cobra, kenge hana lolote mbele ya binadamu.
Sana sana atakula kuku au mayai.
Ispokua kiumbe yeyote anayejiona yupo hatarini atafanya vitisho ili kujiepusha na hatari iliyo mbele yake.
Sana sana atakula kuku au mayai.
Ispokua kiumbe yeyote anayejiona yupo hatarini atafanya vitisho ili kujiepusha na hatari iliyo mbele yake.