Kengold FC wavaa jezi yenye udhamini tofauti juu Puma chini Nike

Bora wangeshonesha pensi kwa fundi cherehani🤣
Picha linaanza juu jezi ni imetawaliwa na rangi ya dhahabu na michirizi myeusi kwenye mikono na PUMA kama mzalishaji ,
Picha linaendelea chini kuna pensi ya kijani na mstari mweupe kwa pembeni na NIKE kama mzalishaji ,
Halafu chini kabisa kuna Soksi za njano .
RANGI HAZIENDANI KABISA , it is better pensi zingekuwa black au gold tu
 
Maendeleo ni hatua ila vile wameanzia championship hadi kuwa mabingwa walipaswa kuwa na brand yao hata ndogo TU ya kujiuzia jersey
Ukweli nilifurahi sana juzi tunacheza na Guinea na Uzi wa sandaland huku guinea wakiwa na puma na wetu bado kuonekana mzuri zaidi na Hawa wanaweza muomba sandaland au GSM awazalishie jersey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…